Recent content by Fakhi Jumaa

  1. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Unataka kujifunza programming?

    Mkuu kwa mfano mimi niko Arusha, lakini nahitaji sana kujifunza programming sasa unatusaidiaje sisi wa mikoani?
  2. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima kweli

    Maisha aliyokuwa anaishi hayana tasiwra ya toto wa mkulima wa kitazania. Mkulima wa Tanzania anatembeleaa V8?? Hakuwahi kuishi kama mkulima ndiyo argument yangu hiyo
  3. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Mizengo Pinda ni mtoto wa mkulima kweli

    Ni kweli kabisa, ila kama ni mkulima wa Marekani labda siyo wa Tanzania
  4. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Ukweli kesi ya Kitilya na wenzake

    Yaani nilijua hapa kuna manondo za hatari
  5. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Dr. Dau magazetini na mtandaoni ni wafamaji, acheni waendelee kutapatapa

    Haahaaaa umenifurahisha sana mkuu, vijipu vidogo vidogo ndo hivi nadhani
  6. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania How long DOES sex Normally long?

    Mbona mi nagonga mambo hadi dakika 45? Halafu najiskia kawaida tu? Mtoto anapewa dudu mpaka anasahau kwao. Kesho saa moja asubuhi anagonga mlango nimfungulie
  7. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Dr. Dau magazetini na mtandaoni ni wafamaji, acheni waendelee kutapatapa

    Zisubiri zitakufuata inbox, na mtaweweseka sana awamu hii. Mlizoea kuishi kwa anasa kwa wizi wa baba zenu. Fanyeni kazii
  8. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Wanaomchafua Dr. Dau magazetini na mtandaoni ni wafamaji, acheni waendelee kutapatapa

    Nashangaa povu linamtokan kwani details za CAG zimemtaja mtu? Nope ila zimeelezea matukio ya kifusadi yaliyofanywa na NSSF. Kwa akili ya kawaida tu, Arusha Hek moja inayzwaje kwa Bilioni moja na milioni mia nane? Mtalia lia sana ila ndo iinakula kwa baba zenu
  9. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Kipi Kinywaji Kizuri Kwa Afya?

    Juisi ya matunda asilia
  10. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania CIA walimuua Bob Marley?

    Bob kwenye muziki wake alikuwa anawafumbua macho watu wengi wa dunia ya tatu kiasi kwamba baadhi walishaanza kustuka. Nyimbo zake nyingi nilikuwa zinapinga ubeberu, ubepari na uonevu. Kumbuka miaka ya 80 ndiyo mabeberu walikuwa wanajaribu kusambaza itikadi zao. Kaa chini usome vizuri na kwa...
  11. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Magufuli akerwa na wingi wa vizuizi barabarani

    Ana hasira kinyama, juzi kakimbilia Ufaransa makao makuu ya Total kuomba bombs lipitie kwaonwakamtosa. Tunasubiri sijui atakuja na mpya gani HE Presdent Freedom
  12. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Magufuli akerwa na wingi wa vizuizi barabarani

    Sema wana roho za kikatili hao!!! Ila at least tutawapata kwa wingi halafu tutaselect kwa umakini
  13. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Uuzaji na unywaji ''viroba'' marufuku Arusha

    Hii itasaidia kuokoa kizazi cha Kazi cha vijana. Najua bado watakunywa ila itakuwa kwa kujificha ficha angalau spidi itapungua. Ile kitu ni gongo live kabisa
  14. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Astrophysicist: Mwisho wa mwezi huu waweza ukawa ni Mwisho wa Dunia

    Mungu alipokuwa anaziumba alijua Namba gani atazipangilia zusigongane, tatizo binadamu tunajitengenezea hofu ambayo haipo
  15. Fakhi Jumaa

    JamiiForums Tanzania Hivi mshahara wa askari polisi kwa kima cha chini ni sh ngapi kwa mwezi?

    Ndiyo maana wanatugonga virungu kumbeee, hela za bure bure hizo, mbona Wanajeshi wenzao siyo vimbelembele kama hawa?
Back
Top Bottom