rimao - LimaoKuna bia inatengenezwa kwa rimao inaitwa CLUB 07 Ni nzuri.
Kama hutaki kulewa saaana kunywa Kilimanjaro swift ina 1.5 alcohol
wewe utakua wa songea bila ShakaKunywa ulanzi au ugimbi
Inapatikana wapi mkuu?Primus inasoko saana sikuhizi aisee
Wapi inapatikana hii?Primus