Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,690
- 5,568
Ha ha ha aise Kuna watu wanauliza unaweza dhani anatumia akilii ya kuota, kumbe ndo kazaliwa nayo hiyo.aliteuliwa na Rais ,
Ha ha ha aise Kuna watu wanauliza unaweza dhani anatumia akilii ya kuota, kumbe ndo kazaliwa nayo hiyo.aliteuliwa na Rais ,
Mkuu tupia na Picha za mzee wa msoga akiwa kijijini msoga
Wa kigambonimdogo wake yupi?
Ni kweli kabisa, ila kama ni mkulima wa Marekani labda siyo wa TanzaniaWaziri mkuu mstaafu wa Tanzania, lakini baada ya kustaafu hakukaa idle kula pesa wanazodai ni za ufisadi na kupiga propaganda za kisiasa, ameenda kwao Katavi akaanzisha kiwanda cha asali ambacho kinawapa ajira vijana na kununua mazao ya asali na nta kutoka kwa wakulima wa maeneo hao na kukuza uchumi wa nchi, na pia kama unavyoona pichani ni mkulima ambaye anafanya ukulima kwa vitendo, huyu ni kiongozi anayeishi falsafa ya Nyerere kwa vitendo, kwenda vijijini na kuwekeza na kuwa insipire vijana kufanya kilimo na shughuli nyingine huko badala ya kujazana mjini hadi daladala na barabara zinaelemewa kupita uwezo,
Tunaweza kuibadilisha Tanzania maeneo ya vijijini kama hawa viongozi wetu baada ya kumaliza uongozi wao kwenda kujichanganya na wananchi wa huko na kuwafundisha kwa vitendo namna ya kulijenga taifa
huyu ni inspiration kwa vijana na hata kwa viongozi wengine kuwa mikoani pia kuna maisha, mdiss utakavyo lakini mimi niemkubali kwa hili
View attachment 336030
Mkuu tupia na Picha za mzee wa msoga akiwa kijijini msoga
Maisha aliyokuwa anaishi hayana tasiwra ya toto wa mkulima wa kitazania. Mkulima wa Tanzania anatembeleaawhat's that supposed to mean?
Kwani kuwa mtoto wa mkulima ni lazima aishi kama mkulima ? Kama baba ako alikua maskini wewe ukifanikiwa ni lazima uishi maisha ya baba yako ya umaskini?.....in fact yeye alikua waziri mkuu kwa hiyo ni lazima aishi maisha ya uwaziri mkuu......kilimo amekichagua kua sehemu ya maisha yake kwa hiyo ni lazima aitwe mkulima tofauti yeye analima kisasa......hizo v8 na posho za uwaziri ni stahiki yake kama viongozi wengine wanavyopataMaisha aliyokuwa anaishi hayana tasiwra ya toto wa mkulima wa kitazania. Mkulima wa Tanzania anatembeleaa
V8?? Hakuwahi kuishi kama mkulima ndiyo argument yangu hiyo
Hivi huyu alipataje uwaziri mkuu?
Hizi ni chuki,posho imeingiaje hap?Maigizo...mbona bado analamba stahiki kibao za uwaziri mkuu mstaafu?
picha alizipiga rafiki yangu aishiye huko msimu huu wa mvua, wewe unataka ligi ya nini?mkuu leta ushahidi wa kuwa ni za baada ya kukatwa na mimi nikuletee screenshot nilizopiga wakati hizi picha zimewekwa mitandaoni ta tarehe husika
Mzee wa msog Hana jeuri ya kukaa bush....ile nilikuwa danganya toto tuMkuu tupia na Picha za mzee wa msoga akiwa kijijini msoga
Aliupata kwa mizengwe ilio pindapinda!!Hivi huyu alipataje uwaziri mkuu?
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi