Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,130
- 8,351
Watafiti wa anga kutoka Chuo Kikuu cha Louisiana wamesema ile sayari ya ajabu inaweza kugongana na Dunia mwisho wa mwezi huu.
Sayari hiyo ya tisa kwenye solar system iliyopewa jina la Nibiru au Nemesis inakuja kwa kasi kuelekea ilipo Dunia na imeonekana ikigonga miamba mikubwa na kuisambaratisha.
Sayari ya Nemesis huchukua miaka 20,000 katika mzunguko wake na imeonekana mnamo mwezi huu wa april itakua imefikia karibu sana na Dunia hivyo kuweza kuigonga na hivyo kusababisha mwisho wa dunia