Kusema kweli si watanzania, na hasa wakazi wa Dar, inabidii tubadilike saaaaaana. Mi siku zote najiuliza inakuwaje miji mingine kama Bujumbura, Kigali, Nairobi na hata Kampala ni misafi!!? Wenzetu wamesomea wapi kuliko sisi!!? Sasa hivi Dar mvua ikinyesha kidogo tu ni matatizo matupu. Kwa sasa...