Viongozi wa CHADEMA kutokumtambua Rais ni Kosa?

Ha aha aaaaaa, yeye ndio Rais kweli, na nyenzo zote za kifedha za maendeleo ziko serikalini kwake. Na kodi hata yale majimbo waliyoshinda wapinzani atakusanya kwa mujibu wa sheria na kuitumia serikalini. Na ndipo hapo aliposema hawana wa kumlilia zaidi ya yeye , kwani hayo yote waliyo yaahidi wapinzani, ni yeye ndio wakuyatekeleza na serikali yake na si mwingine.

Mtasoma namba tu !
 
Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais
siasaza bongo bwana sijuwi siku hotubaya jk kujadiriwabungeni watatoka au wataijadiri?
 
Haaa hufuatilii vyombo vya habari ? walikuwa kwenye ukumbi wa upinzani bungeni wanakodolea tu Mh. Rais anaongea

Chanzo : Star tv
Umekaa kaa kama wale wauza maji wa kariakoo yaani upeo wako wa kufikiri ni zero minus, sijui nani amekuelekeza kuingia humu JF. kICHEFUCHEFU TUPU
 
Kikwete akaoge maji ya bahari tu. Hii ya leo imedhihirisha alivyo na nuksi.

Pamoja na vijembe alivyochomekea mwishoni mwa hotuba yake vilivyoambatana na makofi ya kinafiki kutoka kwa wabunge vihiyo wa CCM, Kikwete hana amani na hataipata.

Ameonja joto ya kuchakachuliwa.

Na bado.
 
Ha aha aaaaaa, yeye ndio Rais kweli, na nyenzo zote za kifedha za maendeleo ziko serikalini kwake. Na kodi hata yale majimbo waliyoshinda wapinzani atakusanya kwa mujibu wa sheria na kuitumia serikalini. Na ndipo hapo aliposema hawana wa kumlilia zaidi ya yeye , kwani hayo yote waliyo yaahidi wapinzani, ni yeye ndio wakuyatekeleza na serikali yake na si mwingine. Mtasoma namba tu !

Unantia kichefuchefu...hebu nenda kalale...hivi aliekudanganya fedha za umma ni za Raisi ni nani???? nyie ndo mnawapa vichwa wafanye watakavyo. Hebu kabla hujaendelea mwaga ujinga wako hapa ufiche kwanza nenda kajifunze nchi hii na uendeshwaji wake alafu rudi tena.
 
imemuuma kweli JK..hahaaa katika kitu hataweza kusahau basi ni hii ya leo
 
Mi ninachokiona ni kubagua watu. Anajipinga mwenyewe kwa kusema atashughulikia mpasuko halafu....Lakini kuna kitu watanzania tuna sahau nacho ni serikali za mtaa na serikali kuu ni vitu viliwi tofauti. Yeye yuko serikali kuu. Atawezaje kuziamrisha serikali za mtaa na hasa mikoa mikubwa ambako sisiem imeangushwa. Langu jicho
 
yaaani sijui kama atalala leo..yaani conclusion yake ndo ilikuwa mipasho dot com tupu..eti mi ndo rais sasa ukiwa rais ndo nini?uibe kura halafu utegemee utachekewa chekewa tu ..yaani mwaka huu mi nataka chadema ondoeni hata shilingi bunge livunjwe uchaguzi urudiwe..yaani huyu hakuna kumaliza 5 years...
 
Hao CHADEMA hovyo sana! Kama kweli hawamtambui basi sharti wasiingie bungeni na wasichukue ile hela ya posho wala pesaingine manake itakuwa kama wanachukua kutoka serikali wasioitambua!! Yule kiongozi wa upinzani bunge lililopita aliwaambia hivyo kwani wao CUF hawaku ingia baraza la wakilishi mpaka muafaka ulivyofikiwandipo wakarudi barazani na kuanza kuchukua fweza.

Namna gani hii!!!!????




WEWE CCM TYPICAL UNACHOFIKIRIA NI PESA TU HIZO POSHO HAZITOKI KWA CCM ZINATOKA KWETU WANANCHI NA TUMEWATUMA WAMWAMBIE HUYO RAIS WA NEC HATUMTAMBUI NA WALIPWE KAMA WENGINE NA WALE POSHO NA OT KAMA IPO KWANI WAMEFANYA KAZI WALIYOTUMWA....
MWAMBIE HUYO RAIS WA NEC - YEYE SIYE MWAMUZI WA KILA KITU **** NINI NDO MAANA WATU WAKE WANASHINDWA KUTOFAUTISHA KAZI ZA CHAMA NA SERIKALI WAKURUGENZI BADALA YA KUWA WAKURUGENZI WANAKUWA WABUNGE NDANI YA MANISPAA....
NGOJA MUONE NI JINSI GANI WANANCHI HAWAKUMTAMBUA KIKWETE 2015 .....
NA YEYE SIYE MUNGU LOL ETI LAZIMA WATAKUJA KWAKE HATA AMBAO HAWAKUMCHAGUA ALIKUWA ANASUBIRI 84% AMECHOKA KWELI KISIASA.....

:A S angry:
 
kwahiyo ana maana hawezi kupeleka huduma za jamii kwenye majimbo ya upinzani au???

It has the biggest backslash --- biggest misktake if he takes that route maana wa kigoma wameshaonyesha why?

too bad JK

Subutuuuu!!

Anao mfano hai wa Wapemba. Wamewagandamiza wee. Wamewawekea vikwazo wee. Lakini hajawahi kuambulia jimbo Pemba.

Ajaribu tu kama anataka kumaliza vibaya zaidi
 
Bajeti na pesa ya uma ndio ataizuia yeye ktk maendeleo hayo ya majimbo ya wapinzani! ndio hapo sasa mtaona huwaga kazoea anawatisha vibabu na vibibi vizee na watu wasio na akili kule vijijini na leo anafikiria atawatisha watu na akili zao! Mzee ule wakti wa kufanya watu wapumbavu umekwisha! :rip:
 
yaaani sijui kama atalala leo..yaani conclusion yake ndo ilikuwa mipasho dot com tupu..eti mi ndo rais sasa ukiwa rais ndo nini?uibe kura halafu utegemee utachekewa chekewa tu ..yaani mwaka huu mi nataka chadema ondoeni hata shilingi bunge livunjwe uchaguzi urudiwe..yaani huyu hakuna kumaliza 5 years...

Nitafurahi kweli!!!
 
Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais

umewaona wapi? walipokuwa wanaangalia tv wewe ulikuwa unafanya nini?
kama ni wewe na umeumbwa na haya bila kukosa soni, na uwe shekhe/immamu wa msikiti wa mwembechai
uko msikitini na unashika maiki kuanza kuongoza swala waamini wako wanakula nduki
ungefanyaje... kama si aibu
 
Nchi nyingi siyo kosa kwa wabunge kutomtambua rais. Nchini Mexico mwaka 2006 Rais aliyechaguliwa, Felipe Calderon alifanyiwa fujo sana na wabunge wapinzani ndani ya Bunge wakati akitaka kuapishwa/ (wao rais huapishwa bungeni). Soma stori hii:

Calderon sworn in as Mexico's president

Last Updated: Friday, December 1, 2006 | 5:53 AM ET

CBC News

Felipe Calderon was sworn in as the president of Mexico Friday despite earlier brawls on the floor of the Congress between his supporters and those who believe the election was fraudulent.
Flanked by members of his ruling party and former president Vicente Fox, Calderon quickly swore to uphold the constitution.


The national anthem was then played, momentarily stilling whistles and shouting from opposition lawmakers who support his presidential opponent, Andres Manuel Lopez Obrador.
"He did it! He did it!" chanted ruling party lawmakers.
Punches, chairs thrown

About an hour before Calderon was to take the oath of office, opposition politicians threw punches and chairs and tried to block the doors of the congressional chamber. Prime Minister Stephen Harper was to attend the ceremony.


The brawl was shown live on television across Mexico.


clip_image002.jpg
Lawmakers scuffle as one uses a chair to try to block an access to Congress as opposition lawmakers try to block the arrival of president-elect

Hours earlier, Calderon had taken charge of Mexico's presidential residence in an unusual midnight ceremony.


"I have received the presidential offices from Fox, the start of the process of taking possession of the presidency," Calderon said in a live broadcast from the presidential residence of Los Pinos.
Calderon, 44, swore in some of his staff during the unprecedented ceremony.
"Nothing like this has happened in Mexico before, according to local media," said CBC correspondent Dave Taylor from Mexico City.


Supporters of Lopez Obrador maintain their candidate won the July vote. Lopez Obrador doesn't recognize Calderon's razor-thin victory and has called for thousands of supporters to flood the streets of Mexico City in protest.


Congress was ringed by police and presidential guards, as thousands of Lopez Obrador supporters marched through the city's streets following a rally at Constitution Plaza, where Lopez Obrador called for a peaceful protest.


Canadian officials have advised visitors to exercise "extreme caution" in the capital and avoid the demonstrations.


Harper was the first foreign leader to call and offer congratulations when Calderon was elected. He was invited to the inauguration when the new Mexican leader visited Ottawa in October, although Canadian leaders haven't attended in the past.


The prime minister will hold a bilateral meeting with Colombian President Alvaro Uribe Velez following the ceremony before returning to Ottawa.


Lopez Obrador's supporters occupied central Mexico City for months following the July election, demanding a full recount. In September, leftist lawmakers managed to block Fox from giving his state-of-the-nation speech in Congress by occupying the same dais.


With files from the Associated Press


 
Wabunge wa CHADEMA wametoka kwenye ukumbi wa Bunge ila wameonekana wakitazama TV (Runinga) hotuba ya JK , sasa hapo haumtambui kivipi ili hali unamsikiliza ? si ni bora ungekaa tu ukumbini ukamsikiliza vizuri Mh. Rais

..............................Think Twice..............................................:nono::nono::nono::nono: sidhani kama uliapply
 
yaaani sijui kama atalala leo..yaani conclusion yake ndo ilikuwa mipasho dot com tupu..eti mi ndo rais sasa ukiwa rais ndo nini?uibe kura halafu utegemee utachekewa chekewa tu ..yaani mwaka huu mi nataka chadema ondoeni hata shilingi bunge livunjwe uchaguzi urudiwe..yaani huyu hakuna kumaliza 5 years...

Ha ha aaaa, adui yako muombee njaa, ndio msemo wako hapo juu unavyo maanisha. Kuvunjwa bunge inategemea na wingi wa wabunge ili ile 2/3 ipatikane, je CHADEMA wabunge hao wanao ? Jibu hakuna. Na KWA KAWAIDA MTU HUWA HASUSI KWANI UKISUSA WENZIO WALA, NA CHADEMA WAMESUSA WENZAO WALA WAKIJA KUSHTUKA CHAKULA MEZANI HAKUNA.
 
yaaani sijui kama atalala leo..yaani conclusion yake ndo ilikuwa mipasho dot com tupu..eti mi ndo rais sasa ukiwa rais ndo nini?uibe kura halafu utegemee utachekewa chekewa tu ..yaani mwaka huu mi nataka chadema ondoeni hata shilingi bunge livunjwe uchaguzi urudiwe..yaani huyu hakuna kumaliza 5 years...

YAPELEKESHENI HAYO MAMIBUNGE YAO AMBAYO HAYANA BRAIN LOL
nimesikia Anna anawasisitiizia wakasome katiba wataweza kweli hahah... labda wapelekwe Tuition...........
na hayo makofi mnayopiga kama wendawazimu muulizeni Masha, Mramba , batilda kwani Kikwete hakuweza kuwasaidia kupita mkirudi huku tutawahoji makofi yale mliyokuwa mnapiga ni ya nini .....
wajinga kabisa hata hamuangalii sehemu ya kupiga makofi jamani....
nasikia kuwang'ata lol:A S angry:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom