Entrepreneurship Forum | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Entrepreneurship Forum

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Esther_M, Aug 4, 2011.

 1. E

  Esther_M Member

  #1
  Aug 4, 2011
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Greetings,

  The attached is for those interested..

  BR
   

  Attached Files:

 2. babalao

  babalao Forum Spammer

  #2
  Aug 4, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Why pay for an invitation to attend for a business opportunity meeting? Can you elaborate is it a training or an invitation to join your organizations business opportunity? we need your clarification.
   
 3. JF Marketer

  JF Marketer Member

  #3
  Aug 4, 2011
  Joined: Jan 3, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Add below link link to give appropriate weight to your advert!
  The Next Millionaires
   
 4. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #4
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mzee mbona wewe semina za pale rombo hotel waga unachaji? Tatizo ni kuchaji au nini? Kwani ndo wakwanza kuchaji hapa tanzania?
  Mbona watu kibao waha wanatoa kwenye magazet kama the guardian na huweka na ghalama za kongamano? Au huwa unashindwa kuwa pinga kwa sababu ni gazet?
  Mimi c oni tatizo hapa kwa kulipia hizo ghalama. Mimi naona labda unaona kwamba wanaingilia anga zako
   
 5. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #5
  Aug 4, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu tupatie ratiba ya hii kitu. means Dar itakuwa lini, Arusha lini na Mwanza lini
   
 6. babalao

  babalao Forum Spammer

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tatizo siyo kuingilia anga mimi nilichokiona hii biashara ni sawa na biashara ya GNLD Tiashi na Forever living. Kwa taarifa yako wenzio huwa hawatozi kwenye mikutano yao kwa wale wapya wanaotaka kujiunga badala ya kulumbana na mimi ulipaswa kufafanua kama mkutano wako ni wa mafunzo au kutaka kuwaingiza watu kwenye ugavi? kama lengo ni kupata distributors kwa nini utoze pesa? hilo hujatueleza. Semina ya ujasiriamali Rombo ilikuwa free na kuna wana JF waliohudhuria na matangazo yangu yalikuwa yanaeleza kuwa semina ni free.
   
Loading...