12000 ktsh
12000Tsh
Chukua shilingi ya kenya upate change ya tsh. Ndo ujue cement yetu iko chini kuliko ya kenya.
Hao bodaboda ulioona wanakwepa kodi ya aliyenunua mzigo huo ambao uliona km cement kumbe nimzigo mwingine.
Hivi katika miji ya China na viunga vyake, Je! Kuna barabara, chuo, au kitu chochote chenye umaarufu kilichopewa jina la kiongozi yoyote au Mtanzania kama ishara au kumbukumbu ya urafiki wetu?
Nawasilisha tafadhari.
Enzi na enzi.
Nikijiji cha ifugandi kipo kata ya busolwa wilaya nyag'wale mkoa wa Geita
Kijiji hiki kimekuwa kisiwa , barabara ni mbovu kufika wilayani au katani na kupata huduma za hospitali nk.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.