Starfish89
New Member
- Jan 6, 2021
- 3
- 9
Uchunguzi unaendelea
Nuru Mhando na meneja matumizi lililoibuliwa na Mh. Waziri mkuu siku za hivi karibuni.( amewatoa kafara tu , mhusika mkuu ni yeye)
Naunga mkono hoja.Bila ushahidi ni majungu tu. Umeandika kwa kusukumwa na chuk bila shaka. Ungekuwa na facts, ungemwaga hapo. Acha majungu mdada/mkaka
Taarifa yoyote ni kazi ya uchunguzi lazima ifanyiwe kazi si kupuuza tu.Bila ushahidi ni majungu tu. Umeandika kwa kusukumwa na chuk bila shaka. Ungekuwa na facts, ungemwaga hapo. Acha majungu mdada/mkaka
Hata kama kaandika kimajungu na chuki lakini point yake ya mwisho kuhusu kufanyiwa uchunguzi ni jambo la msingi kabisa. Uchunguzi utatoa majibu.Bila ushahidi ni majungu tu. Umeandika kwa kusukumwa na chuk bila shaka. Ungekuwa na facts, ungemwaga hapo. Acha majungu mdada/mkaka
asante kwa taarifa, ila how can we authenticate it and validate it!? if its true!.. tunalifanyia kazi.
Bila ushahidi ni majungu tu. Umeandika kwa kusukumwa na chuk bila shaka. Ungekuwa na facts, ungemwaga hapo. Acha majungu mdada/mkaka