Recent content by enos

  1. E

    Zilivyo balozi mbalimbali za Tanzania huko ng'ambo - Aibu tupu!

    kazi kweli kweli jamani,balozi ambazo hazina tija na maslahi kwa taifa hili zifungwe kwani ni hasara kuziendesha ukilinganisha na faida tunayopata kutoka mataifa hayo.
  2. E

    Mshangao: TBC chombo cha watanzania?

    hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  3. E

    Kesi ya Tundu Lissu Mahakama kuu Singida yaendelea

    Kwa mujib wa Isango hali yake ina imalika kila dk hope atakuwa hewan next time kutujuza zaidi juu ya kesi hiyo wakati mwingine. pa1 sana wana jf wote. peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrr.
  4. E

    Barua kwa Dr. W. Slaa

    mawazo ni mazuri sana ju ya hii issue,swala la msingi ni kusubir na kuona viongoz wetu wa chama wameamuaje juu ya hili swala maana kiukweli limeteka hisia za watu na watu wapo makkini sana kuona viongoz wa chama wameamua nini. mungu ibariki chadema,mungu ibariki tanganyika
  5. E

    Kigogo wa CCM Aishushua CCM Arumeru

    hahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hilo nalo neno
  6. E

    Hata kama ni mchina jamani hii balaa sasa

    napita tu jamani
  7. E

    Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali

    naingiwa na hofu juu ya huyu mtu,inawezekana ni mtu safi?kwa nin cdm hawajamshushua?pili kwa niniaseme wagombea wote ni wazuri kama hapend wananchi wanavyopewa misaada wakati huu wa uchaguz mdogo? sitaki kuamin kuwa jamaa kabadilika,kama ndio atwambie kilicho mbadilisha na mabaya ya ccm na sio...
  8. E

    Ukiwa na moyo dhaifu usifungue ni ajari mbaya boda boda

    kaka kweli ni tatizo,makosa yapo hapa. madereva wa magari wanawadharau sana hawa jamaa wa bodaboda,pili madereva wa bodaboda wengi hawajui sheria za barabarani na wanaharaka sana,tatu sisi abiria huwa tunachekelea tu hata kama dereva wa bodaboda anafanya ujinga akiwa kakubeba. issue ni abiria...
  9. E

    Kumekucha Arumeru

    hahaahahahahahahaha mi nafurahia hii post. mtoa taarifa anatoa white mbaya
  10. E

    Kikwete kuondolewa uenyekiti CCM

    mi napita tu jamani
  11. E

    Tetesi:Kulikoni Miraji Jakaya Kikwete?

    :shock: yakweli haya? kama anaiman hiyo ni vema na haki
  12. E

    Nahisi kumchoka lakini kumwambia nashindwa

    better you tell him the truth,akalia akasahau kuliko kumdanganya akacheka
  13. E

    Tundu Lissu asusia mkutano Dar

    tundu lisu was right to walk out,we should be serious on this,tuache ushabiki usio na maana.taifa hili sio la ccm wala chadema ni letu sisi watanzania,ushabiki wa vyama kwenye issue za msingi ni ujinga na kuendekeza maslahi binafsi.
Back
Top Bottom