Mr.Professional
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,582
- 258
Duh hivi ni kwa nini huyo mhe. Jaji asimalize huu upuuzii Lisu akamsumbue Welema bungeni jamaa karidhika kweli sikuhizi
ISANGO anaumwa mkuu ndoo maana hatuna Up dates za maelezo ya kamanda wetu na wezi wa Magamba hapa jamvini
mkuu huyu jamaa ana vifaa vya kurikodi sauti, mi natumia kimeo cha simu ya kichna hvyo inakua ishu.mkuu unaweza kuvaa viatu vyake? Maana huyu jamaa huwa anarekodi kama Hansard za Bungeni!
Kuliko Lissu awe Mbunge ni heri Slaa aukwae URAISI
Mnaikumbuka iyo statement?
Mkuu wala usihofu,kama Lissu anaweza mgaragaza wakili wao mkuu(mwanasheria mkuu wa serikali) na wabunge wote wa CCM (ambao ndani yake wako wanasheria makumi kwa idadi) itakuwa hao ambao hata kesi yao wameshindwa kuifrem tokea awali? dhuluma hata ikifanyika lakini kesi imeshaonekana kuwa haina mashiko tayari.WAKUU MI NINA WASIWASI HUENDA DHULUMA IKAFANYIKA KAMA KWA LEMA, MAANA Mh. LISSU AMEWEKEWA MAWAKILI SABA (7) wa MAGAMBA 1 NA WA SIRIKALI 6 MIDUME 5 NA DEMU 1.
WAKUU MI NINA WASIWASI HUENDA DHULUMA IKAFANYIKA KAMA KWA LEMA, MAANA Mh. LISSU AMEWEKEWA MAWAKILI SABA (7) wa MAGAMBA 1 NA WA SIRIKALI 6 MIDUME 5 NA DEMU 1.
Mh. Lissu aendelea kuwaburuza magamba wazembe mahakamani, leo alikuwa anaelezea ushahidi wa magamba ulivyojikanganya, kesi inaendelea saa 8 mchana.
hivi ukiwa mbunge huwezi kuomba kesi ipigwe tarehe mpaka bunge lipite?hawa magamba wanaweza kuwaset mahakimu ili kesi za makamanda zisikilizwe kipindi cha bunge ili.wapitishe ***** wao bila kipingamizi
Kwa mujib wa Isango hali yake ina imalika kila dk hope atakuwa hewan next time kutujuza zaidi juu ya kesi hiyo wakati mwingine. pa1 sana wana jf wote. peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeez poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrr.ISANGO anaumwa mkuu ndoo maana hatuna Up dates za maelezo ya kamanda wetu na wezi wa Magamba hapa jamvini
No, Mkuu umesahau sifuri zingine tano! Hesabu ni 1 Lissu = 6,000,000 Magamba + Wafuasi wao + Watoto wao + Wakwe zao + Vimada vyao.Kichwa cha Lissu ni vichwa kama 60 vya magamba.
mkuu usiwe na shaka, huo wingi wao sio hoja! Issue ni kwamba wamepangaje hoja zao kumshawishi Jaji! Pamoja na hayo akishindwa kesi ataruhusiwa kugombea kwa kuwa hakukuwa na suala la rushwa (I hope Jaji amejifunza kutokana na Kesi ya Lema)!
Naikumbuka sana hiyo, hafu Lissu anajitetea mwenyewe kama wakili mwenyewe!!!Kuliko Lissu awe Mbunge ni heri Slaa aukwae URAISI
Mnaikumbuka iyo statement?