Mods kungekuwa na kipengele cha kuwalamba BAN watu kama hawa ingekuwa swaafi sana.
hv kinapindua nini vile!??
wengine sisi huwa hatupuuzi lolote linalosemwa kwakuwa tunajua UKWELI UTAJULIKANA TUU SIKU MOJA!
Kwa hawa marafiki wasiku nyingi inawezekana kabisa maana ukitaka kujua angalia bungeni huyu EL alivyo nanguvu je kwa makada wa CC sindo balaa?na kama aliweza kuachia uwaziri mkuu kwa kukingia bosi wake asiaibike basi lawezekana lolote naakiwa Rais hii nchi itaenda inakotakiwa kwenda ila tujue Upinzani utakufa na demokrasia itafifia hatataka kwanza kurudisha heshima kwanza iliyopotea miaka kumi!!lakini tetesi tusizibeze!!