Tetesi:Kulikoni Miraji Jakaya Kikwete?

Game Theory I

Member
Nov 28, 2011
32
8
Heshima mbele,

Wadau wiki liyopita huyu "mtoto mkubwa wa pili wa kiume" wa JK kaweka picha mbili za viongozi wabunge na mawaziri,Wassira na Komba katika ukurasa wake wa Facebook wakiwa wamelala, https://www.facebook.com/mkikwete (Wassira ni mshirika wa JK na ****** anamuamini,jana alikuwepo wakati JK anakutana na CDM) na juzi juzi Mtanzania Daima wamerusha habari kwamba dogo,a.k.a Teja kaitetea CDM kwamba ni chama cha Watanzania.Vipi,ndo harakati za JK kuitosa CCM zimeanza?
 
Miraji anao uhuru wa kutoa maoni kama mimi na wewe tunavyofanya. Pia anayo haki ya kuchagua chama anachokitaka ajiunge nacho kutokana na kile anachokiamini. Tusishangae 2015, Miraji akaibuka na kugombea ubunge kupitia 2015 jimbo la Bagamoyo au lolote kupitia CDM.
 
Ntamkubali kweli anayapinga maovu yanayofanywa na chama cha babake
 
Mnashangaa nini kama Miraji akihusudu siasa za Chadema , hata Makongoro nyerere alijiunga na NCCR mageuzi wakati huo baba yake yungali hai!!
 
Heshima mbele,

Wadau wiki liyopita huyu "mtoto mkubwa wa pili wa kiume" wa JK kaweka picha mbili za viongozi wabunge na mawaziri,Wassira na Komba katika ukurasa wake wa Facebook wakiwa wamelala, https://www.facebook.com/mkikwete (Wassira ni mshirika wa JK na ****** anamuamini,jana alikuwepo wakati JK anakutana na CDM) na juzi juzi Mtanzania Daima wamerusha habari kwamba dogo,a.k.a Teja kaitetea CDM kwamba ni chama cha Watanzania.Vipi,ndo harakati za JK kuitosa CCM zimeanza?
Kumbe samaki hawozi wote!!!!!!!!!!
Haka kamsemo kanatakiwa kufanyiwa marekebisho
 
Huyu Jamaa alikua ashapotea kabisa kutwa alikua BLK 41 na kina kalapina sema walikuja kuzianguana na pina "Babuu na miraji kikwete kiama mnataka nikilete niwavunje miguu mjiunge na kundi la viwete? Narudi kwa dudu baya nilishakupiga mashgeli ya shingo bills ukakimbia"-KALAPINA
 
Back
Top Bottom