Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali

Status
Not open for further replies.
Alianza Maji Marefu, akaja Ole Sendeka sasa hivi ni Rostam. Lazima kuna kitu hawa jamaa wanakizungukia hapo.
Rostam hawezi kumsapoti mpinzani wa mkwe wa swahiba wake hata siku moja. Kuna mchezo hii mijamaa inataka kuucheza hapo Arumeru.
 
naingiwa na hofu juu ya huyu mtu,inawezekana ni mtu safi?kwa nin cdm hawajamshushua?pili kwa niniaseme wagombea wote ni wazuri kama hapend wananchi wanavyopewa misaada wakati huu wa uchaguz mdogo? sitaki kuamin kuwa jamaa kabadilika,kama ndio atwambie kilicho mbadilisha na mabaya ya ccm na sio kusema siasa uchwara tu hii haitoshi
 
Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata mbalimbali. Huwezi kuyaamini maneno haya ya Rostam. Nanukuu:

"...ninachoomba kwa wananchi wa hili ni kuhakikisha wanamchagua mbunge mwenye uwezo wa kuzungumzia hoja za matatizo yao bungeni na sio kushawishi kuchagua chama kama ilivyo mazoea ya watanzania"

"Wagombea wote ni wazuri lakini ninawasihi wananchi wa Arumeru wachoke kudanganywa wajitahidi kuchagua tumaini la maisha yao, waondokana na kasumba ya kugawiwa vitu bure kwa ajili ya kuchagua chama fulani, ndio maana ikaitwa demokrasia.

Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili kuhusu ujio wa Rostam, Dr Slaa alisema kitendo cha Rostam kutoa baraka kwa Nassari ni kutokana na kuzichoka siasa uchwara za CCM na kuzikubali siasa safi za Chadema.

Source.Dira ya Mtanz

My take, Rostam inaonekana anaiunga mkono chadema na nadhani anahofia itashinda 2015 hivyo ameanza kuwaunga mkono washindi tangia mwanzo

Is a lie oo... Kasa!!
 
Huku nilipo siwezi pata hilo gazeti. mleta mada hebu copy and paste hiyo article ndo ntaamini habari hii japo RA hawezi kuiunga mkono CHADEMA na akiiunga naamini haiwezi kumkubali unless CHADEMA nao wakubali kuwa chama chao kinakumbatia mafisadi
 
Kama ni kweli Rostam kasema hivyo basi mambo ni mabaya ccm kuliko wengi wanavyoamini na CHADEMA inabidi wawe makini zaidi maana inawezekana watu wanawekeza 'huku na kule'. Muda wa kuchambua huu ujumbe utawadia na ni vizuri tukaanza kuunganisha dots na idea ya kushusha urais!
 
dira ya mtanzania ni ya nani?
hofu yangu ni kwamba ccm wapo very strategic!
 
wanachama wa CDM , kila mkutano linapitshwa kapu... nguvu ya uma ina fanya TUKU TUKU linakata mawingu... PEOPLE'ZZZZZZZZZZ power

Mali bila ya daftari hupotea bila habari ............................. kuna msemo mwingine unasema wajinga ndio......................
 
Kwa kauli hiyo ya Dr Slaa, ina maana RA anakaribishwa kabisa chadema.Maybe Zitto alijuwa toka mwanzo kabla ya Dr Slaa kuwa RA anaona siasa za chadema si "uchwara" kama za ccm?

Sidhani kama ilimchukuwa RA siku moja kugunduwa hilo.So big up Zitto kwa kugunduwa uzuri wa RA kabla ya viongozi wenzako.
 
Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata mbalimbali. Huwezi kuyaamini maneno haya ya Rostam. Nanukuu:

"...ninachoomba kwa wananchi wa hili ni kuhakikisha wanamchagua mbunge mwenye uwezo wa kuzungumzia hoja za matatizo yao bungeni na sio kushawishi kuchagua chama kama ilivyo mazoea ya watanzania"

"Wagombea wote ni wazuri lakini ninawasihi wananchi wa Arumeru wachoke kudanganywa wajitahidi kuchagua tumaini la maisha yao, waondokana na kasumba ya kugawiwa vitu bure kwa ajili ya kuchagua chama fulani, ndio maana ikaitwa demokrasia.

Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili kuhusu ujio wa Rostam, Dr Slaa alisema kitendo cha Rostam kutoa baraka kwa Nassari ni kutokana na kuzichoka siasa uchwara za CCM na kuzikubali siasa safi za Chadema.

Source.Dira ya Mtanzania.

My take, Rostam inaonekana anaiunga mkono chadema na nadhani anahofia itashinda 2015 hivyo ameanza kuwaunga mkono washindi tangia mwanzo
CHADEMA ni pango la MAFISADI,lazima wakimbilie kwenye CHOO CHA KIKE a.k.a CHADEMA.CCM tumewasha moto ambao unasambaa kwa kasi ya GAMA RAYS
 
Alianza Maji Marefu, akaja Ole Sendeka sasa hivi ni Rostam. Lazima kuna kitu hawa jamaa wanakizungukia hapo.
Rostam hawezi kumsapoti mpinzani wa mkwe wa swahiba wake hata siku moja. Kuna mchezo hii mijamaa inataka kuucheza hapo Arumeru.
Na gazeti lenyewe la kuripoti hayo ni Dira ya Mtanzania!. Leaves a lot to be desired!.

"I fear the Greeks, especially when they bring gifts!".
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom