Recent content by enginiero

  1. enginiero

    JamiiForums Tanzania Nina ujauzito - nimekata tamaa

    Pole usikate tamaa mama jipe moyo utayashinda hayo
  2. enginiero

    JamiiForums Tanzania 93% of Crimeans vote for anexation with Russia

    Nadhan rais Vlamid Putin anataka ampe hilo jimbo la Cremia rafiki yake Victor kyankovich. But majority power sustain world.Cremia freed from Ukraine.
  3. enginiero

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Yaan nimefurahi sana. Admin big up Tumetoka kilometa nyingi sana na sasa tunaenda tusikokujua
  4. enginiero

    JamiiForums Tanzania Anguko la CHADEMA lipo njiani

    Offcoz jamaa chadema wamechapwa sana. Wapate somo
  5. enginiero

    JamiiForums Tanzania CCM ilivyomfanyia unyama Mbunge Rose Kamili Iringa

    Siasa za tz ni fatal and detrimental
  6. enginiero

    JamiiForums Tanzania Zuku tv,mjitahidi kuongeza chanel za startv na ITV

    hawajamaa TBC1 hawaonekan maeneo ya moshi
  7. enginiero

    JamiiForums Tanzania Hatimaye haki ya tendeka,,askari saba Wilayani Kasulu waachiwa huru.

    Maamuzi mazuri na haki za binadamu kuanza kuonekana Kwa mbali. Tunaukaribisha mwanga huo
  8. enginiero

    JamiiForums Tanzania Hongera CHADEMA; Kutoka kura 900 hadi 5000

    Hongera mgimwa
  9. enginiero

    JamiiForums Tanzania Matiti yangu yako tofauti nifanyeje?

    Dada kama haliumi au kuwa na uvimbe maanayake moja linaweza kuwa lina homon msimamo kuliko jingine basi jitahidi kwenda kucheki ili waweze kukupa dawa za hormone stimuli
  10. enginiero

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya DC Kilwa yateketea kwa moto

    Tunasikitika Kwa tukio hilo bays.basi nawaombeeni mungu awanusuru na kifo. Moto ni kama ukuta usishindane NATO.tafadhali ukiona moto hata kama ndani umeacha Vito vya thaman via che Ondoka zako. Life is paramount ,don't compromise safety
  11. enginiero

    JamiiForums Tanzania Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

    Mnafanya kazi nzuri sana. Nasi tunazibariki kazi za mikono yenu. Forever forward jamii forum
  12. enginiero

    JamiiForums Tanzania Dont let me cheat on my ........, Oohh Lord!!!

    Tunakuombea don't do flashback. U never no whom he had crossed with and u may get those strange stds
  13. enginiero

    JamiiForums Tanzania company yenu wapenzi.

    Tatizo non jembe
  14. enginiero

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu Shutuma juu ya Kitila Mkumbo (Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA)

    Saanane ndivyo greater thinker wali yo.usibishane na wasio na uelewa dhidi ya ajenda Fulani. Or all most kin
  15. enginiero

    JamiiForums Tanzania Tamko kuhusu Shutuma juu ya Kitila Mkumbo (Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA)

    Mh kitila kama ni ya kwel bas tunashukuru Kwa maelezo yako akinifu.heko jembe
Back
Top Bottom