Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,988
- 285,500
Mkuu acha kutetea uozo, yaani Mtunga sheria anakuwa Mtoa rushwa achekewe? walimpiga kutokana na hasira tu na si vinginevyo.
laki tatu unusu utawapa watu wangapi ? Kwa faida yako tu ni kwamba kila ubaya utalipwa ! Maana tunayo majina na anuani za wahusika wote .