Zuku tv,mjitahidi kuongeza chanel za startv na ITV

Zuku tv,mjitahidi kuongeza chanel za startv na ITV

CHEKEA

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
83
Reaction score
50
Kwa kifupi mi nakiubali sana kisembusi chenu coz kina mambo mengi sana.ila ombi langu ni hilo tu.Ninaimani mtakuwa juu sana kama mtaongeza chanel za ndani kama startv,Itv,Tv1 na mlimani tv.
 
wakuu vp TV TUMAINI nayo ipo!??
nataka nijue kabla sijanunua..
 
Zuku ni nzuri sana!!ila wongeze local chanels!!ni chache sana
 
Back
Top Bottom