Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
Achit mara ngapi? Kiroho tayari, anasubiri kukamilisha kimwili tu.
The fact kuwa anawaza kucheat ujue mumewe hayko moyoni.
Mkunde Original, shughulikia matatizo ya ndoa yako. Manake huna uzoefu alionao mumeo, utaishia kupata ukimwi.
Last edited by a moderator: