Recent content by Eng.Dullah

  1. Eng.Dullah

    JamiiForums Tanzania Swali kasirishi: Kwanini Paketi ina Condoms 3?

    Mimi nafikiri ni kwa sababu ya kuendana na hali yetu ya maisha ili wengi waweze kununua lakini zipo aina nyngine zipo zaidi ya hapo na bei tofauti.
  2. Eng.Dullah

    JamiiForums Tanzania SOLD: Kompyuta aina ya HP inauzwa

    300k ni pm mkuu,
  3. Eng.Dullah

    JamiiForums Tanzania TASAF post

    Interview yao n tarehe 19 mwezi huu! Na tayar wameshawatumia ujumbe! Asante
  4. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake sura mbaya na minyamanyama 'wanaganda' ili waolewe

    Hahahaa yaan kuamka tu nakukutana na uzi kama huu! Sema wengi wao wanajituma sana kunako 6*6 sababu ndo silaha yao kubwaa
  5. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi/mume

    Vijana hawataki kusikia mambo ya ooh! badae tuwe mke na mme wao wanapenda tu mgegedo tu, kuwa makini sana ndg
  6. Eng.Dullah

    JamiiForums Tanzania ATEC ni nini? Na inatofautiana vipi na CPA ?

    Kama una dip wewe una exception ya atecI&II ivyo bac utaanzia foundation level. Ukifaulu unaenda Intermediate level anayoanza nayo mtu wa degree then unamalizia final level kuipata hiyo CPA.
  7. Eng.Dullah

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa ndugu yetu.

    Habari wakuu! Kwanza nitoe shukuran juu ya mtandao huu penda jinsi ulivyo kuwa msaada kwangu Na kwa jamii nzima. Ndugu zangu dhumuni kubwa la huu uzi ni kutaka msaada kwenu juu ya ndugu yangu katika ufumbuzi wa ajira au sehemu ya kupata uzoefu kazini. ELIMU YAKE #Diploma ya uhasibu #komputer...
  8. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Many ladies have lost good guys because they cannot identify good guys

    Fact! But sometime it depend
  9. Eng.Dullah

    JamiiForums Tanzania Dell Vostro 3350 inauzwa

    Mkuu upo mkoa gani
  10. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ongezeko la wadada wanaohitaji ndoa nini tatizo?

    Ndoa tumewachia wazee waongeze idadi. Sisi kazi yetu haswaa ni kuwasaidia kunako 6*6 , majukumu hatutaki
  11. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnawezaje kuwatongoza wanawake waliowazidi umri?

    Ndio mkuu huwezi kuwa mtakatifu ukawapata hao watu
  12. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mnawezaje kuwatongoza wanawake waliowazidi umri?

    Vuta bange kidogo nenda kamweleze
  13. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajamini dawa ya upweke ni mini?

    Huko duniani kuna mambo, Bora nilieshukia sayari nyingine
  14. Eng.Dullah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kusave nomber ya mapenzi wako jina la kimahaba ushamba.?

    Mmh
  15. Eng.Dullah

    JamiiForums Tanzania wivu ukizidi ni tatzo nakonda jamaniii

    Amina
Back
Top Bottom