Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Na hizi mvua babii bora mvuani kuliko bafuni.
Na hizi mvua babii bora mvuani kuliko bafuni.
Rafiki hapo ni sawa na kuuliza ugandamizaji wa demokrasia kwenye sirikali ya yule jamaa anaejiita bullidoza!Sasa rafiki uko bafuni alikua anapiga puchu au



hata haya ya kwenda na kikopo babe.....anabeba ndoo zake mbili za lita 20 anakua anajimwagia maji huku analia machoziLakini babe bafuni kweliii,kukaa tuu??heheehe hata kama ni stress hizi zimepitiliza....halafu anaongezea "mpaka analidhika" kabisaa sasa analidhishwa na nini???labda kama bafu lenyewe lina jakuzi,.ila kama haya mabafu yetu ya kwenda na kikopo mkononi sijui unaenjoy nini....uwiii![]()






Anafua kibamia chake na sabuni ya jamaa...Bafuni unafanya nn muda wote huo????

Unafanya nini huko bafuni mpaka kupelekea kuridhika..?Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika.
Kama ulichokiandika ni kweli pole sana. Naamini utapata faraja very soon.Yangu boy wangu aniache nimekuwa mtu wa hasira yaani unaweza nisemesha vizuri tu lakini nikakujibu vibaya
Nashinda tu nimelala nikichoka kulala naingia bafuni nakaa huko wee natoka nimeridhika.
Imefikia hatua hata sielewi kwakweli maana hapo nyuma sikuaga hivi. Yawezekana ni upweke tu unasumbua.
Wanaume wa jf nao wamejaa kejeli hata kufarijiana awajua yaani kuna mmoja yeye yupo yupo tu ata kuongea hajui.
Apana ni mwngnHuyo boy wako aliekuacha ni yule aliekuwa na manyoya mengi mwilini?
Haya sawaKuna njia nyingi sana za kufikisha ujumbe....! Msg sent and delivered!
Thnx mwayPole kwa upweke..jaribu kujichanganya na wenzako..jitoe out..upweke utasepa
Stress zimeisha?Haya sawa