ATEC ni nini? Na inatofautiana vipi na CPA ?

atec (account technician certificate), ni level za mwanzo kuielekea CPA,
Sawa mkuu na vigezo vp ambavyo vinatakiwa ili mtu apate kusoma hio atec na process zipi za kufata mpaka mtu uweze kuisoma hio atec???
 
Ili usome ATEC I unapaswa uwe .
1.Umefaulu mtihani wa kidato cha nne uwe na credit 3 yakiwemo masomo ya Hisabati na Kingereza.
Au
2. Umefaulu mtihani wa kidato cha sita uwe na D mbili au zaidi katika tahasusi husika.
Au nikipata muda nitaongeza...
 
Na je kama una dip ya accounting???
 
Kama una dip wewe una exception ya atecI&II ivyo bac utaanzia foundation level. Ukifaulu unaenda Intermediate level anayoanza nayo mtu wa degree then unamalizia final level kuipata hiyo CPA.
Ahsante !!! Na utaratibu wa kijisajili uko je??? Na pia mitihan hufanywa kila baada ya mda gan??
 
Hapo bado cjaona jibu la swali langu
unataka jibu gani kijana,utaanzia foundation level kama jamaa alivyosema hapo juu kwa kua una diploma ya accounting
mitihani inafanyika may na November kila mwaka,ingia website uchimbe info ndugu,si rahisi mtu akujibu maswali yote hapa ila kila kitu kipo kwenye web ya nbaa aliyokupa kijana hapo juu

(c) Foundation Level – Knowledge and Skills Level

(i) NBAA’s Accounting Technician Certificate (ATEC)

(ii) A two-year Diploma in Accounting/Accounting and Finance - NTA level 6.
 
Sorry mkuu ukipiga hio foundation level fresh je unapata cheti cha level hio???
 
Back
Top Bottom