TASAF post

TASAF post

shida ni moja ajira hamtaki kutuwekea huku mnafanya application Kwa siri mkishaona hamuitwi ndo mnakuja kutuuliza
 
************************
Waajiri nao siku hizi hawaeleweki.

Hawa tasaf walisema wataita baada ya siku 14 ila wamekuja kuita baada ya mwaka kupinduka...........baada ya miezi zaidi ya mitano.
chief hawa jamaa wa TASAF waliita watu lini tena mbona habari mupya kwangu iyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom