Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,175
- 93,465
Hahhahaha usinambie saivi unamwita My [emoji23][emoji23][emoji23] StrawberryInaletaga mizuka sana hata ya kupokea simu, nakumbuka siku nilitaitiwa na ma Pot/Mwela nikawa nampigia simu antumie hela flani niitoe niwahonge jamaa waniachie.
Ndio pie mmoja akaniuliza huyo mtu ni mkeo? nikamjibu ndio..sasa mbona umemsevu drama queen? Nikakosa cha kumjibu maana mziki wake naujua mimi.
Ila sahivi nimempa jina zuri, ameacha utoto wake!