Recent content by emafst

  1. E

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanaume simwelewi kabisa

    Umejuaje kama anapokea mshahara millioni? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983 (Business jet)

    Alivyo pimwa mkojo ndio kaenda nunua ndege?ikatue mkoa wa pwani sio hapa kwa mako Sent using Jamii Forums mobile app
  3. E

    JamiiForums Tanzania Kuwa na mwanamke mzuri kisura ni raha sana, wanawake weupe wanakosha sana mioyo ya wanaume

    Msukuma huyo,my self mwanamke mweusi napenda sana, weupe kwangu ni kama ajari kwangu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. E

    JamiiForums Tanzania RC Makonda kuunda tume ya kutoa suluhisho namna mfumo wa CCTV utakavyoweza kufanya kazi Dar

    South africa zipo lakini matukio haya ishi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. E

    JamiiForums Tanzania Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

    Unasema hutaki chochote toka kwake ivunje wewe hiyo ndoa uende zako preasure ya nini sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. E

    JamiiForums Tanzania Free to air channels kwa matumizi ya kawaida

    Direct kivipi mkuu nijuze? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki mwanaume

    Mambo?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Je Lowassa alitekeleza ahadi ya ujenzi wa msikiti Arusha?

    Time za akina lowassa zilisha pita kuwa na mvi nyingi kichwani sio busara busara ni kujitafakari mheshimiwa rais wetu piga kazi,hatutaki maneno tunataka maendeleo na tunayaona
  9. E

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: Kuondolewa kwa baadhi ya channels kutoka kwenye king'amuzi cha azam

    Hii offer ya azam tv inaisha lini?
  10. E

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameweka nguzo katikati ya kiwanja changu

    Nenda tanesco ,inawezekana jirani yako aliwadanganya tanesco kwa kuwambia ni eneo lake ilitakiwa wakujulishe ili uje uwaelekeze sehemu ya kuweka hiyo nguzo sababu hata wewe utahitaji umeme baada ya kujenga hiyo nyumba yako
  11. E

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Sumaye mlikuwa wapi wakati mikataba ya madini inapitishwa?

    Wezi hao
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ofa ya mitungi ya gas

    Uko wapi?
  13. E

    JamiiForums Tanzania Ameamua kuniacha bila sababu sasa anataka tuuze nyumba tugawane pesa

    Mpe pesa yake ubaki na tunda lako
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nataka kuoa Muhindi!

    kuna jamaa alitoka nae India alivyofikanae hapa bongo akashawishiwa na wahindi wenzake mbongo akapigwa chini
Back
Top Bottom