Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Huyu mwanaume simwelewi kabisa

Is he saving for something specific? Ila mhh..salary milioni 1 ?.hata kujiongeza kidogo tu..unakuja kula na unaondoka, unaleta hadi na wageni wako, ukipiga simu tu unauliza "umepika"? Nakuja kula,,hata jero haiachwi, mshahara milioni 1....inakua kama unakuja restaurant halafu kauzu kama dagaa.

Have you tried asking him why he won't spend his money with you?
If you haven't, you should,
Don't judge him or patronize, though. Ask him sincerely ili upate uhakika na uamuzi utakaouchukua, pay attention to his behavior towards you and try to identify how he conveys his love for you, if you dont like his response then its up to you to press the red or green button.

What goes around always comes around
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Ganda la ndizi kuteleza.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una tatizo bidada tena si dogo! Kipi kinachokufanya ushindwe kumuambia huyu ukweli kwamba mbangaizaji wewe huna pesa!? Unaogopa kuachwa!? 😕

Maisha yangu yote anayajua kumbuka alikua rafiki wa karibu sana
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwambie acha uoga. Sasa kama maisha yako yote anayajua kwamba wewe ni mbangaizaji iweje tena aombe msosi bila hata kukupa senti moja ya mahitaji ya kuandaa msosi?

Maisha yangu yote anayajua kumbuka alikua rafiki wa karibu sana
 
Huyo amechoka kujipikia sasa amepata Mama lishe wa kumlisha bure.

Hamjafunga ndoa ndo anafanya hivyo, mkishafunga si ndo itakuwa mabalaah kabisa!??

Mwanaume kamili hafundishwi wajibu wake kwa mwanamke, awe rafiki licha ya mume. Akifundishwa jua kuna hitilafu ktk uanaume wake!

Tafadhali sana iwe ni kwa mume ama urafiki, kaa mbali sana na 'mr. Close friend'

Steve Jobs - Giant Of Technology.
 
Pole ila jitahidi kabla ya ndoa akufahamu wewe ni mtu wa namna gani na hii ni kwa wewe kuwa wazi, wakati mwingine mwandikie rist ya matumizi ya ndani yanayohitajika labda ataweza kuanza kuwa serious
 
1) mwezi 1
2)kuna sehem tulienda nilikua ninashida ilitakiwa nilipe elf 10 akatoa yeye...baada ya hapo tukaenda lunch akalipa yeye....siku ya pili niliharibikiwa kitu akakinunua kwa elf 10 akakuleta basi.
3)hua anaongea tu kufikia mwaka kesho tuwe pamoja
4)yes hua ananiambia like nipo kazin,,nimetoka,,nipo napika
Nimesoma Majibu yako!

Ushauri wangu:

Kwanza kabisa huo muda ni mdogo sana kuweza kuamua na kufanya wanavyokushauri wengine.
Hata hivyo ni muda unaotisha kupiga hatua moja mbele angalau kwa miezi miwili.. Kuna changamoto kubwa sana kwenye kupata MKE au MUME wa kweli na halisi ktk maisha ya sasa.Kwahiyo inawezekana yeye anakutega kama nyie mnavyotutega nenda rudi mpaka miezi sita hujatoa papuchi.

Mambo ya kufanya ni pamoja na:
1.Usimwambie kabisa kuhusu chakula.
Mwambie jambo lolote kubwa na la kifamilia mf. Baba/mama/dada au yeyeto wa karibu yak kwamba anaumwa na unahitaji angalau 50elf ili utume huko.
2.Jaribu kumpa idea zako za mipango ya maendeleo mf. Nyumba au mtaa unapenda mjenge nyumba ynu, biashara gani mnaweza fanya, shamba n.k
Kwa sababu kwa umri wenu hivyo ndivyo vitu mnavyotakiwa ku-focus kwa hiyo kama yuko serious utaona reaction yake.
NB:Haya yote usiyafanye kwa wkt mmoja jipe na umpe nafasi ya kuendelea kusomana..
4.Uendelee kumpa papuchi kwani hakuna utakachopoteza ukizingatia keshakutomba tayari. Tena tombana hasa kwani kwa umri huo itakua ushatombwa sana na hutokua na cha kupoteza.. I mean kwamba ukizila kwa maneno unayoambiwa ww ndo utakua umepoteza. Sasa bora upoteze wkt umeshatimiza wajibu wako vya kutosha.
5.Acha kuzungumzia sana mambo ya hanging out na fashion na vitu vya aina hiyo labda aanzishe yy na usimsapot sana. Ww jikite kwenye mipango ya maendeleo.
6.Mfatilie kwa karibu kuona kama ana mahusiano mengine makubwa zaidi yako... Kama anayo ya kawaida usijinyonolote sana isipokuwa ww inyesha umuhimu wako zaidi. Yy atachuja mwenyewe.

Mwisho: Kua mke na kua mume ni kamari kama zilivyo kamari zingine.. Usiogope kupoteza.. Ukiona hayo yote hupati support ujue hapo ni chenga.Jipange na uanze upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Inabid angeenda kuchekiwa na mkemia mkuu mkojo wake usikute ana tatizo huyo jamaa
 
Ni vizuri ukaondoa uwoga na kuongea nae tabia usizopendezwa nazo kutoka kwake...
Ili muamue mapema kunyoa au kusuka...

Cc: mahondaw
 
Jamani naombeni ushauri wenu ndugu zangu nilikua na rafiki wa kiume close friend yaani tulikua marafiki hasa kiasi kwamba haiwezi pita Masaa 2 hatuwasiliani usiku tunaongea mpaka SAA 5 usiku.

Kuna siku alienda kazini akachelewa kutoka akanipigia best ndio nafika alafu gesi imeisha kwakua ni rafiki sikuona ajabu nikamwambia njoo ule huku akaja kula Sijui kilitokea nini tukajikuta tupo katika mahusiano ya kimapenzi kweli mi nilikua nampenda sana before nadhani hata yeye.

Sasa kilichofanya niombe ushauri ni tabia ya jamaa kifupi tumepanga kufikia December tuwe tumesha tambulishana kwa wazazi lengo tuje tuishi pamoja ambacho simuelewi jamaa anaweza piga simu pika nakuja kula kweli najipinda napika anakula anaondoka au anaweza pata mgeni akaniambia piga ninamgeni tunakuja kula nawapikia jamaa hanunui hata mboga wala tu kujiongeza angalau alete hata nyanya tu hapana

Yeye ana kazi nzuri analipwa karibia 1million per month mimi mbangaizaji tu lakini hata huruma hana nashindwa nimuelewe juzi aliniambia njoo uninunulie lunch nikamwambia sina hela basi.

Jana kaja nimekuja kula ikabidi niandae chakula akala akaondoka jamani nashindwa kumuelewa ni mtu wa aina gani mi sio muongeaji sana nashindwa kumuambia nataka niachane nae je naanzaje? maana ukweli nampenda Jamaa ana 36 mimi nina 30.
Naombeni ushauri wenu
Nakushauri kuanzia sasa uwe naye kwa timing afu pia hizo huduma zipunguze kwa kiasi fulan iv.
 
Back
Top Bottom