Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Mume wangu hataki kuvunja ndoa, nifanyeje?

Nenda kwenye Baraza la usuluhishi, lipo kanisani kwenu hapo ukalalamike, baada ya hapo watawapa cheti ndo uende mahakamani, ala sivyo utakwama. Kwenye kudai talaka lazima uwe na sababu ya msingi kama yàko hyo inatosha kabisa.
Na la mwisho Pima mwenyewe kukosa muda kutafuta haki yàko na hyo yanayokukosesha muda kipi kina umuhim ndo ufanye maamuzi, siku zote katika maisha muda huwa hautoshi.
 
Pole sana ila hebu fikiria ikiwa utamleta mwanamume mwingine na wakati huo una watoto wa mume ulozaa nae hivi huyo mwanamme mwingine atawachukuliaje hao watoto wako!sijui wapo wangapi hao watoto na sijui wakike wangapi na wakiume wangapi na sijui wana umri gani!kwa wakati huu tulonao ni wanaume wachache sana wanaoweza kukubebea majukumu kama yako lakini kumbuka baba wa kambo ni baba wa kambo tu,Rudisha moyo wako nyuma kaa nae mpange maisha yenu kwa manufaa ya kizazi chenu.Maisha ya ndoa ni watoto na furaha inaongezeka mkiwa familia imetimia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hauna muda?

Nafikiri hii pia ni sababu ya ndoa yako kuvunjika.

Naamini jamaa hajaua mtu, anafaa kusamehewa. We all deserve second chances, don't we?

Kama kweli jamaa bado anakuhitaji after 8 years apart, kuna real love somewhere!

Unaweza ukahisi wanao wanapata kila kitu. Lakini kulelewa na mzazi mmoja pekee sio kitu kizuri.

Itafika wakati watamchukia mmoja kati yenu.

Wanaume hatutabiriki dadaangu. Unaweza jikuta unaangukia mikononi mwa mtu mbaya kuliko mumeo!

Mnatakiwa mpambane kuungana, sio kutengana. Give it one more try, fight for your family!

- KANA -
Mwanamke akiamua huwa harudi nyuma. Hapo unampigia mbuzi gitaa. Mwanamke ni mvumilivu sana ila akishasema imetosha, hata umpe nini ni kazi bure
 
Aiseee naona umemfukuria kaburi......yani nimepitia hiyo page1...kuna comment imemifanya nicheke..yani kuna mlenga shabaha mmoja alimkaribisha fastaa ahaaaa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hapa ndo ninapowapendea wajf..angekua mwanaume kaleta mada ushauri ungekuja chap chap...achana nae we oa tu..mara wanawake kibao huyo wa nini..
Ila kwa vile ni mwanamke mmmh....

love thé love or hâte thé love.....
 
Nimetengana na mume wangu kwa miaka 8 sasa, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutojali familia hasa watoto na matatizo mengine ya kimaumbile. Nilifunga ndoa ya kanisani nimekuwa busy sana kutafuta pesa ili watoto wasome, kiasi kwamba sikuweza kushughulika na mambo ya ndoa kudai matunzo ya watoto na mali bali nilihangaika wanangu wakue na kupata elimu iliyo bora. Amekuwa akidai tusameheane tuendelee na maisha ila moyo wangu umekataa kabisa najikuta namchukua tu kiasi kwamba siwezi kuendelea kuwa naye.

Nimejaribu kumshawishi tufile petition for divorce ili kila mtu awe huru hataki na amepanga kunifanyia fujo endapo nitajaribu kufanya madai hayo, kiukweli niko busy kiasi nashindwa kwenda mahakamani kudai divorce coz inakula muda na sikumdai na sitadai mali yoyote kutoka kwake nilichotaka ni kuwa huru tu ili nami niweze kumpata mtu nitakayeweza kuishi naye for the rest of my few years in this world as we only live once.

Sasa nimekwama hapo, naomba great thinker mnishauri nianzie wapi.

Samahani kwa kwa kuwachosha na uzi mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unatuuzia chai? Wewe ni me au ke? REF; Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]
 
Unaambiwa jisaidie
Ndyo usaidiwe

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Back
Top Bottom