Recent content by Elninho Elninho

  1. Elninho Elninho

    From Hyatt Regency, The Kilimanjaro: the 2nd Tanzania Oil & Gas Congress. Wazungu Wengi Kuliko Wenyeji!

    [emoji28][emoji28][emoji28]....imebidi nicheke badala ya kuhuzunika...mkuu tupo wengi si mmoja..huyo umebahatika tu kumwona na kumfahamu.
  2. Elninho Elninho

    Maisha bwana: Waliokata kuchangia harusi yangu leo hii nimeombwa niwachangie harusi yao

    “People don’t know sometimes revenge is so sweet.”......Ingawa muda mwingine pia kisasi si kizuri...angalia mwenyewe upande wako,kama unayo wachangie ili kuwaua kikarimu,kama huna achana nao.Am DONE!!...
  3. Elninho Elninho

    Kila mtanzania hatatakiwa kumilimj Lini moja ya simu...Ukitaka ya pili utalazimika kuomba TCRA

    Nimesoma tweet ya wizara ya ujenzi,uchukuzi na mawasiliano..wamesema hivi “Laini zinazozumgumziwa na kuwa na laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja”
  4. Elninho Elninho

    Ikungi, Singida: Gari la mbunge Lucy Magereri(CHADEMA) lapata ajali. Dereva apoteza maisha!

    Mkuu umechanganya nq Mitsubishi Canter.Hizo ndo mwisho 3/3.5t.Kuanzia 4t na kuendelea Fusso zipo,na mtengenezaji ni mmoja Mitsubish
  5. Elninho Elninho

    Zitto: Suala la Palestine, Sahara Magharibi na kusimamia wanyonge ni Msingi muhimu kulindwa

    Sioni sababu ya kukomaa na ukombozi wa nchi zingine huku Tanzania inatudodea hapa.Kuwa mstari wa mbele katika ukombozi wa baadhi ya nchi za Afrika hatujatusaidia chochote.Ule msemo wa tenda wema uende zako unaendekeza umaskini tu maana.Ni zamu ya Tanzania kujikomboa kwa sasa.Wema mwingi tutakufa...
  6. Elninho Elninho

    Nini siri ya watu wengi kumiliki Toyota IST?

    Mkuu hapa ni changa la macho..aliyekuhadithia ni mwongo..hamna show room hapa bongo kwa sasa ambayo utaichukia IST kwa box 10...labda kwa mtu aliyeitumia kidogo.Hazijashuka kiasi hicho [emoji3]
  7. Elninho Elninho

    JamiiForums Usiku wa manane

    [emoji6]
  8. Elninho Elninho

    Carol Ndosi: Barua kwa Rais wangu mpendwa Dkt. John Pombe Magufuli

    Huwa nipo against na Ma-Feminist wengi sana lakini huwa ninachuja mahali ambapo tuna intersect.Andiko zuri,umejitahidi sana kuwasilisha.Keep it up.
  9. Elninho Elninho

    NECTA yatangaza Matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2017. Ufaulu waongezeka kwa 7.22%

    Mkuu msaada wa hawa watu,S0451/0019 na S0451/0018 shule inaitwa Endarofta
  10. Elninho Elninho

    Je una tatizo la kutojulikana kwa biashara yako au shughuli yako?

    Hiyo namba mbili inaonesha wazi kuwa ndio nyie mnaowauzia waganga wa kienyeji namba zetu halafu wanatusumbua na sms zao kila siku...
Back
Top Bottom