Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,802
Maisha bana kweli kitendawili nimeamini kweli hakuna aijuaye kesho itakuwajeee
Nina ndugu zangu hao upande wa bamkubwa miaka iliyopita wakati ninaoaa harusi yangu hakuna aliyenichangia wala aliyewahi kuhudhuria hata kikao changu kimoja cha harusi licha ya kutuma text zinyi na kupiga simu sikufanikiwa kupata sapoti ya ndugu yeyote hivyo harusi yangu nilifanya kibishi bishi mpka nikatoboaa.
Sasa baada ya miaka kupita upande ule ule wa ndugu ambao hawakunichangia wala kunipa sapoti katika harusi yangu leo hii kuna kijana wao anatarajia kufunga ndoa mwaka huu kwenye mwezi wa kumi na mbili na hadi sasa nimeshapigiwa simu na kutumiwa meseji ninayotakiwa kuhudhulia kikao cha kwanza lakini pia najua nitahitajika nitoe mchango au nitoe plide
Ya mchango.
Mpka sasa najiuliza ninaanzaje kwenda, ninaanzaje kufika, ninaanzaje kutoaa kutoa michango kwa watu ambao hawakunichangia