Recent content by ellyrehema

  1. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana kifaa kinachoitwa “Wireless Speaker”

    Amevutia chooni sio bure Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Guys habari, kama kuna mtu anayo link ya telegram ya group la walimu wanaotaka kubadilishana vituo naomba mwenye 0782183441 tafadhali sana nitashukuru Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya Kihistoria kufanyika nchini Venezuela leo Februari 2, 2019

    Usihangaike na watu wenye akili mgando utapotezamuda wako,nimegundua jf imevamiwa na vitotovya secondari vingi sana, dada poa, na watu wenye upeo mdogo sana wa kuchammbua mambo Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Tunafanya kampeni Ulaya wakati sanduku la kupigia kura lipo Itigi

    Ni ubinafsi kudai ongezeko la mishahara wakati miundo mbinu haijakaa sawa, next to ur door there are people striving, acha rais wetu aweke hii nchi sawa then mishahara itaongezwa, ni upumbav na ufinyu wa mawazo kuhimiza wafanyakazi kuihujumu nchi ukidhani unamkomoa rais, ni upumbavu na ujinga...
  5. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Tunafanya kampeni Ulaya wakati sanduku la kupigia kura lipo Itigi

    Magufuli aliwekwa na Mungu sio mabeberu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Kama gharama hii ya kununua korosho kutoka kwa wakulima itakuwa ni sahihi kama anavyosema Zitto, basi tujiandae kufunga mikanda

    Cashew businesses worry about high price trap in 2018 Hii ndo bei ya korosho ktk soko la dunia, so faida ipo
  7. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akagua magari ya Jeshi yatakayobeba Korosho iwapo Wanunuzi hawatanunua

    Mkuu unajua maana ya SWOT na inafanyika wakati gani, na kwa nn inafanyika, labda ungesema market mixing inakataa ila SWOT hifanyika kabla biashara haijaanza ama pale unapotaka kubadili biashara
  8. ellyrehema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni msanii gani wa Kenya anakubalika sana Tanzania?

    Prezzo
  9. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na mawe kwenye figo ,msaada wa haraka inahitajika

    Kidney stonee dawa yake ni maji tu. Huna haja ya kwenda hospitali mkuu, inaitwa water therapy
  10. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Waliosoma na kufanya kazi nje ya Tanzania

    Kwa wale ambao tu.eonja kero za kuishi nje, kule hakufai mkuu, maisha yao kama masikni ni masikini hasa, na kama umeyapatia maisha basi ni tajiri hasa. Kule unafanya kazi kama punda ili uweze kuishi. Ukileta uzembe kama tufanyavyo hapa kwetu unaweza kufa kwa njaa. Maisha ni expensive sana
  11. ellyrehema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

    Ukimpuuza utajuta
  12. ellyrehema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

    Fuata anachokwambia baba
  13. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza ukubwa wa memory card na internal storage ya simu

    Hakuna kitu kama hicho. Ukitaka kuua memory yako jaribu. Mm nimesoma microprocessor programming hiyo kitu haipo. Yaan memory ipo kama kabati lenye vyumba vidogovidogo ambavyo ndo tunaweka mafaili kama miziki n.k, kama allocation ipo 5kb itabakia hivo milele
  14. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hatugawi pesa ila tunakupa njia milioni za kupata pesa. Jiunge sasa na group letu Please help me to send this link to all contacts and groups you have Business Exchange Zone Telegram – a new era of messaging Kama hauna app ya telegram click link hiyo [emoji115]kudownload
  15. ellyrehema

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Hatugawi pesa ila tunakupa njia milioni za kupata pesa. Jiunge sasa na group letu Please help me to send this link to all contacts and groups you have Business Exchange Zone Telegram – a new era of messaging Kama hauna app ya telegram click link hiyo [emoji115]kudownload
Back
Top Bottom