MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,156
- 6,570
Ha ha haaaaaaSpika aliyeko Dom anaingiliwa na mawimbi ya magogoni Dar.
Hujaelewa tu mpaka sasa?
Kama ushaelewa lala sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha haaaaaaSpika aliyeko Dom anaingiliwa na mawimbi ya magogoni Dar.
Hujaelewa tu mpaka sasa?
Kama ushaelewa lala sasa.
Anasema hivii; speaker pale Bungeni Dodoma anaingiliwa sana na wireless from ikulu Dar.
Ushaelewa?

Aisee!Shida ni kwamba spika ya Dodoma ina matatizo ya kiufundi na mafundi wataalam wako Ilala Dar Es Salaam hasa hasa karibia na Muhimbili au Ocean Road
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenielewa sasa?binafsi sijakuelewa mleta maada!
Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Nyumsusa JB,tena hata uwe umeshika mic,na spika IPO karibu haitoi sauti ya mwangwiDeep!!Habalini Wanajanvi.
Zamani zile kabla Tekinolojia haijakua sana hakukua na hizi Wireless Spika zenu za sasa, yaani ili mziki usikike basi Mitambo ilikua ni lazima iunganishwe na Spika kwa kutumia Nyaya.
Sasa siku hizi Spika za kisasa Haziunganishwi kwa Nyaya tena, zinaunganishwa kwa mifumo ya Wireless kama vile mfumo wa Blutooth, au Wi-Fi n.k.
Tatizo la hizi Wireless Spika ni kua zinaweza kuingiliwa na Mitambo tofauti na hivyo Msikilizaji akajikuta anasikiliza mziki usio wa Mitambo yake. Kwa mfano, Spika inaweza kua Dodoma lakini ikaingiliwa ki Blutooth au Ki Wi-Fi na Mitambo iliyopo Dar na hivyo Msikilizaji akajikuta anacheza Mziki wa Dj wa Dar.
Zamani haikua hivyo yaani kama Spika ipo Dodoma basi Msikilizaji atausikia Mziki wa Mitambo ya Dodoma, maana hakukua na njia ya ki Wireless kuunga Mitambo ya Mbali kama ilivyo Leo.
Zamani ilikua Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dodoma na Mziki wa Dodoma.
Leo hii ni Spika ya Dodoma, Mitambo ya Dar na Mziki wa Dar.
Kweli Tekinolojia inakuja na Mambo Mapya.
Tusimlamu sana yeye ni Spika tu,kazi yake ni kutoa Sauti tu, kuna Vifaa vingine ambovyo ndo chanzo halisi ya Sauti tunayoiskia. Mike imeshikwa na Jiwe mwenyewe.mmmmhhh ..... ndungayi huyoo!!!
Hii Spika ya Dodoma, inaweza kuunga.Bluetooth ukiwasha ukiwa Dom mtu wa Dar anaona ur device.?
Ama it only works for devices in close range/ukaribu flani
Im With You, Anasema Unaweza Kua Dar Halafu Mtu Akaskiza Wapi? Mimi Hapa Sijamuelewa Zaidibinafsi sijakuelewa mleta maada!
Nmeisoma Mara ya PiliBaada ya Kuona Mdau Mmoja Kasema Tuangalie Post Ipo Wapi, #JukwaaLaSiasaKabisa mtoa mada, bora hata spika za mtungi za awali tulikuwa na hakika chanzo mdundo, haya mambo ya remote hayafai kabisa,hata mdundo wa spika ni feki na dhaifu haueleweki.
Sent using Jamii Forums mobile app
, Myoa Mada Umeniweza