Jinsi ya kuongeza ukubwa wa memory card na internal storage ya simu

Msaada jinsi ya kuongeza ukubwa wa memory card na internal storage ya simu
Kuna software zinaongeza ukubwa kwenye flash na memory card lkn siyo kwa uhalisia. Njia hii inatumiwa kudanganya watu sbb ukiformat inarudi ktk ukubwa halisi mfano memory card ya Gb 2 unaweza kuifanya ikawa inasoma GB 16 lkn hii haimaanishi ukubwa umeongeza la hasha bali zinabaki pale pale Gb 2. Itasoma Gb 16 lkn memory inabeba vitu vya GB 2.
Futa mafile yasiyo muhimu, nunua memory card yenye ukubwa mkubwa km Gb 16, 32 nk au download ccleaner kweny simu yako
 
Nipe 15000 nikupe Application yenye kuweza kuongeza ukubwa wa Internal Storage ifikie hadi TB 6 kwenye Tecno yako.

Mimi ni yule mganga.
 
Kuna software zinaongeza ukubwa kwenye flash na memory card lkn siyo kwa uhalisia. Njia hii inatumiwa kudanganya watu sbb ukiformat inarudi ktk ukubwa halisi mfano memory card ya Gb 2 unaweza kuifanya ikawa inasoma GB 16 lkn hii haimaanishi ukubwa umeongeza la hasha bali zinabaki pale pale Gb 2. Itasoma Gb 16 lkn memory inabeba vitu vya GB 2.
Futa mafile yasiyo muhimu, nunua memory card yenye ukubwa mkubwa km Gb 16, 32 nk au download ccleaner kweny simu yako
Hakuna kitu kama hicho. Ukitaka kuua memory yako jaribu. Mm nimesoma microprocessor programming hiyo kitu haipo. Yaan memory ipo kama kabati lenye vyumba vidogovidogo ambavyo ndo tunaweka mafaili kama miziki n.k, kama allocation ipo 5kb itabakia hivo milele
 
Back
Top Bottom