Waliosoma na kufanya kazi nje ya Tanzania

Nawauliza watanzania waliosoma au kufanya kazi au kuishi nje ya Tanzania.

Mnapata wapi courage ya kurudi na kuishi kwenye nchi yenye shida kama hii?

Ni uzalendo? Umeshindwa kupambana huko? Umepamiss sana home? Huwezi kukaa mbali na ndugu zako? Umeona fursa Tanzania? Au sababu ni nini?

Sioni mantiki umeishi US au Europe kwa miaka 10 umefanya shughuli zako zinakuingizia vizuri halafu baada ya kipindi unarudi kuishi Tanzania.

Inawezekana vipi?
Go east and west home is BEST
 
I think, you fail to realize that the world is a small village. There are more Tanzanians travelling, working and living overseas now than in any given time. When I was a student in the 90's, it was rare to find many Africans in American Universities. Now, it is quite common to go to a class with dozens of Africans. More Tanzanians are admitted in universities overseas every year.

You can't improve a system which does not respect basic human rights. We are ruled by a Dictator, who is paranoid and doesn't listen to reason, like a true tyrant.

Do you really think you can make a difference in your country when the rule of law is not respected? No country can develop without it.

At the moment, our courts are receiving instructions from the State House. The President himself declared that Executive Powers he enjoys under the constitution, is above other pillars. No checks and balance!

And you want me to buy Shamba under this repressive regime? Why do you think foreign investors use Swiss or London based mediators in their conflicts with CCM?

Tuna Maliasili. Kitu ambacho hatuna ni uongozi mzuri, sera rafiki za kibiashara na haki. Matatizo haya ndio yanampeleka mtu nje.

Na huwezi kumpima mtu kutokana na kazi yake. Si haki yako kuniuliza kwa nini naishi nje na kwa nini sirudi nyumbani. Hujui maisha ya watu yakoje na hujui watu wangapi wananitegemea na pesa ninayotuma nyumbani hata kama inatoka na kazi ya ulinzi!

Kazi zipo nyingi tu. Ndio maana watu wanakufa baharini kujaribu kuzipata.

Kuna watu bilioni 4 na zaidi Asia. Itachukua miaka 100 mpaka mashine zichukue kazi zao.

Unajua walala hoi wa Kihindi wanaofagia barabara Uarabuni wanapeleka kiasi gani India kila mwaka? BILIONI TANO USD.
Ukijumlisha na wasomi, wanapeleka $60 BILIONI miaka 10 mfululizo.

Hauwezi kudharau kazi ambazo zinazalisha kuliko uchumi wote wa Tanzania.
Nakuunga mkono watu wengi wanaenda nje kutafuta fursa za kiuchumi, Elimu Bora, biashara pia kutembea ni kujifunza
 
Life is not supposed to be lived in one place,
Travel as much and as far as you can
Go places and see things different,

Huwezi kuishi sehemu moja tu kama mti,kutoka nje na kwenda nchi zingine kunafungua akili zaidi kwani unakutana na new "challenges"

Ukiishi sehemu moja tu na akili nayo itawaza kua hakuna maisha mengine zaidi ya hayo unayoishi tu!

Anyway naona zile thread za kuponda wabeba box zimegeuka na kuwataka wabeba box wasirudi bongo!! Vipi mleta mada mambo magumu Mkuu?
Hahaha watu wamechoka kula vumbi sasa wanatamani kubeba box
 
Mwaka wa 5 huu....

Na kwenda bongo mara moja moja na sakai zaidi ya 1 week na nakaa kwenye kwenye apartment huko Masaki nikiwa Dar.

Mambo ya kukaa home.kisha asubuhi unaamshwa saa 12 asubuhi na ndugu anataka pesa za kupakua choo yamenishinda

Uandishi wako unaonesha umetoka familia duni sana kiasi kwamba kwenu unaona hapafai Kama kichaka, hata kama hurudi boresha kwenu, familia yako wanastahili kula mema ya matunda yako waache kupakua choo kila siku, unless wewe ni wale wa kila kitu ni changu Peke yangu.
 
I fully sapoti wote wanaoishi mahali moyo wao umeridhia sio Lazima iwe nyumbani, ila kusema sirudi sababu bongo pabaya, huduma mbovu, viongozi hawajali hii ni lamest excuse I've ever heard. Unataka nani abadilishe sasa Kama sio wewe? Au unataka mwingine abadilishe wewe uje na tumbo lako kula tu? Kama ambavyo wazungu walijenga kwao wewe umeenda kuneemeka tu? Hili ndo tatizo number moja la mtu mweusi hataki mtendaji kuwa yeye, anataka mwingine afanye yeye afaidi tu. Smh

And this comes from a diasporan too
 
Overcoming barriers to successful personal investment
FRED MSEMWA
02 January 2018

Columnist

LAST week we identified barriers that may prevent someone from attaining successful personal investments. Some of the barriers identified included investors’ emotions that tend to drive investment decisions. Sometimes emotions can include fear and even greed which push someone to make irrational and detrimental decisions.

0 Comments
From the discussion, it was also evident that lack of general knowledge on the area that someone wants to invest in can also contribute in retarding the speed at which one attains the desired level of success in the chosen area of investment.

As we went ahead with the discussion, we further noted existence of some socialcultural aspects within our society that can also contribute to put off some prospective investors in pursuing their objectives while at the same time attempting to align to the social demand of the people surrounding them.

It is also important to appreciate that in the last week article, only few barriers were identified as in practice there could be more barriers than those we were able to identify. Likewise, barriers identified may not apply to all investors and in fact some of them may not apply to some investors at all.

Impliedly, while one barrier caused by say an investor’s emotions can be very relevant to that one investor, it may not equally apply to other investors who may have their other barriers as well. In today’s discussion, we will look at what can be done as a way of laying down some strategies that can be of assistance in managing the identified barriers.

No matter what your barriers might be, it is always helpful to put together actions that can eliminate or reduce barriers to manageable levels. Here are some techniques that may assist to tame your investment barriers: Manage your emotions Knowing oneself can help in making self evaluation with a view to improving your future behaviour.

This can start by looking at how you have performed and behaved in making investment decisions in the past and the outcome of the same. Looking at the patterns of your past response to market investment opportunities should help you to establish whether patterns observed point to the barriers to your success or not.

Does your decisions prove to be wrong most of the time? Did you impulsively decide to commit your resources at a certain investment opportunity without doing any homework on the nature of the investment itself, how it has behaved in the recent past, the potential outcomes etc.

It is advised that investors remain focused to see the bigger picture and remain longterm oriented. Typically, losses are more likely in the short term, so investors who make emotional, impulsive decisions could be hindering their own success at the expense of long term gains.

If you’re about to make a change in your portfolio, try to establish why exactly you’re choosing to make that change. Take for example, if you want to buy or sell your shares and you are about to make this decision just because of a short-term market movement, that decision is probably pushed by emotions and is likely to be a guess work that could erode on your portfolio.

Decisions based on a longterm views and backed with data, are more often than not likely to be prudent decision compared with those driven by short term market movements. Dramatic market news or high profitability hype heard from friends and colleague on certain businesses can be a factor injecting higher emotions around your investments.

Likewise, listening to media headlines and everyday noise can be a great factor in limiting how often emotions will impact your investment decisions. Instead, reading insights from trusted sources or consulting with a financial advisor can prove immensely helpful.

Gain relevant knowledge As you travel through the investment journey, you will definitely settle for some chosen investments or business that you will decide to devote more time to. To enhance your chances for success, you should seek to be an expert in the areas you have chosen.

If say you have decided to direct your efforts at investing in real estate, to increase your efficiency and potential for success, look for and seek to get as more knowledge as possible in the area that you are putting resources as possible.

That knowledge may be acquired from reading books, real estate magazines, media briefings, listening to other real estate investors, attending relevant meetings as well as travelling and finding out how other people are doing as far as our area of interest is concerned.

Too often many investors tend to overwhelm themselves with all information that is available on multiple type of investment or many businesses for that matter. Instead of trying to understand everything that can be potentially done by any investor, it is best to get to know one proven investment strategy or business.

While you are likely to lose on other investment opportunities as you focus on one at a time just to begin, you will definitely gain the confidence you need on at least one investment approach that you can build upon in diversifying your portfolio.

The knowledge so gained will soon prove to be useful as it can be applied elsewhere to compliment your proven strategy and expertise. Learn to be objective Many investors want the market or the businesses they manage to do what they wish the market or business to do rather than what the market actually does.

In most cases, any limits that you put on your business or market will usually turn the other way around. The market does what the market does. Investors are best served if they do things objectively.

If you are objective, then you will not feel pressured to act quickly, not be afraid to make investment decisions and not force your opinion on the market but rather sense and try as far as possible to manage what the market is trying to do to you. Learning to be objective can be achieved by remaining focused and being able to monitor and gain from your past performance.

Measuring your past performance is useful as it builds your track records to allow you to appreciate as what can work and what can’t work. Sometimes, documenting to capture some details on your previous performance may help in assessing your investment style over time and can be used to identify what you are encountering that hinders your success.

Overall, removing and managing your barriers to successful investment should be an ongoing process. By following a defined plan, one can identify barriers and formulate actions to manage and remove them.

Like it has been highlighted above, managing emotions, putting a plan to acquire more knowledge in your chosen area of investment and learning to be objective are actions that need dedication and focus if one is to realize the intended results.

Existing and prospective investors should seek to acquire knowledge on continuous basis as apart from enabling one to manage barriers to successful investment, knowledge is power and is poised to crystallize into an important competitive edge over your competitors which all of us need to succeed.
CHANZO : DAILY NEWS Overcoming barriers to successful personal investment
 
Awamu hii kiukweli vijana wengi Sana hawana hamu Na nchi Yao, kila mtu anataka kutimka, potelea pote liwalo Na liwe Tu.
Ikiwemo mimi,ni vile tu sina concrete issue ya kwenda(bado natengeneza )
ila siku nkisepa sitaki hata picha ya msiba wa mazishi yangu zionyeshwe bongo(achilia mbali maiti yangu),i hate to be tanzanian,[HASHTAG]#RUDISHA[/HASHTAG] FAO LA KUJITOA
 
Watanzania tuna bahati sana, raia wa nchi nyingine wanaogopa kurudi nyumbani kwa sababu ya civil war, uchumi na mambo mengine.
Kwani uchumi wa tanzania ni mzuri,hayo mambo mengine ndo hayo watu wanayoyataja
bongo kuna raha gani?!!!!i hate to be tanzania#RUDISHA FAO LA KUJITOA
 
That's inspiring.

Huwa ndicho huwa najiuliza. How comes mtu ameishi nchi yenye demokrasia, uhuru wa kujieleza, elimu na afya bora, miundombinu iliyotukuka ila anaacha anarudi Tz kwenye shida za kila aina?
Hata mimi huwa haijawahi kuniingia akilini,Bongo hapana aiseeee
 
Nyumbani ni nyumbani, usisikie ndugu yangu. Nyumbani ni pamoja na kumwona mama, baba, dada, au kaka mara kwa mara. Nyumbani ni pamoja na jamaa na marafiki ambao una mshikamano nao toka udogo wako. Nyumbani ni pamoja na kula na kunywa vitu ulivyovizoea toka utotoni. Nyumbani ni pamoja na desturi au tabia zetu za kufahamiana na kushirikiana na wote hasa majirani.
Kila mahali pana mazuri yake na mabaya yake. Nilipokuwa mdogo nilijua mahali pamoja tu ndipo palinifaa, pale kijijini kwangu. Lakini baada ya kusafiri na kukaa sehemu mbalimbali duniani, nimegundua kwamba ninaweza nikaishia kupapenda popote nitakapokaa. Lakini nyumbani kuna mvuto wa pekee.
Kuna sisi ambao hatujaishi sehemu moja yaani wazazi wetu walikua wanahama hama due to ajira mfano mimi primary nimesoma mikoa miwili tofauti o level boarding miwili tofautimkoa tofauti advance mkoa tofauti chuo mkoa tofauti na kazi nafanya mkoa tofauti na wakati niko a level na a level likizo nyingi nlikua naenda kwa ndugu walioko karibu due to umbali from home,so sijawahi kuwa na sehemu nliyoizoez kiivyo hata ndugu tu tunaonanaga kimachale tangu zamani sasa nkienda nje ya nchi wala sitaona tofauti yoyote coz nlishazoea kukaa mbali na ndugu na marafiki na create kila nnapoanzisha makazi mapya ntajiona tu kama home ni kigoma but kazi songea so hio point yako hapo juu hai apply kwa wote
 
Nchi za wenzetu hakuna umbea wala kuombana chumvi kama tz yetu lazima umiss ivi vitu
 
Kwa wale ambao tu.eonja kero za kuishi nje, kule hakufai mkuu, maisha yao kama masikni ni masikini hasa, na kama umeyapatia maisha basi ni tajiri hasa. Kule unafanya kazi kama punda ili uweze kuishi. Ukileta uzembe kama tufanyavyo hapa kwetu unaweza kufa kwa njaa. Maisha ni expensive sana
 
Back
Top Bottom