Recent content by ELLET

  1. E

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Jaribu kwenda Kampala kule nguo bei ndogo.
  2. E

    Karibuni wote

    Karibuni Wote
  3. E

    Huko Bujumbura

    Sio unafiki, kama unavyosema. Waingereza hawakufanya ukatili kiasi hiki kama ilivyo Kenya, Zimbabwe etc. Tayari waliwakuta watu wanajitawala wenyewe. Baada ya uhuru wao walikazana na kujifunza Kiingereza sio kama hapa kwetu Tanzania. Kiswahili kwao kilikua kinatumika na wanajeshi na polisi (hadi...
  4. E

    Unayejua wanunuzi wa asali kwa kiasi kikubwa tafadhali

    Na mie nanua. weka contacts zako au ni PM
  5. E

    New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

    Hi kawaida tu. hata watu wasiomwamini Mungu wana sifa zaidi ya hizi. Maisha ya Mandela, Nyerere, Ghandi ni zaidi ya haya. Kwa level yake kama kiongozi wa dini nilitegemea kufahamu, ameleta watu wangapi kwa Yesu?
  6. E

    Msaada:- Ndoto hii inaninyima raha

    Ndungu yangu giLESi, Wafu hawajui lolote! Ecclesiastes 9:5,10. Ndoto kama hizo ni roho chafu(evil spirits), sometimes zinaweza kutabiri mambo na yakatokea lakini ni roho za shetani na usiusike nazo. Cha kufanya, piga magoti mwambie BWANA kwamba shetani anakusumbua. hakuna haja ya kwenda kwa...
  7. E

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Mbona Million 4.2 inatosha kabisa.
  8. E

    Woman sues fiancé over wedding

    When Catherine Kalembe introduced Emma Mutaka to her parents in Kisozi Village, Kamuli District in 2010 as her fiancé, she was sure a wedding would follow shortly to cement their relationship. However, two years later and...
  9. E

    Pombe kupigwa marufuku kwa aina hii

    Hapana Kaka, Kanisa Katoliki halifundishi utumiaji wa Pombe, japo baadhi ya waumini wake wanatumia.
  10. E

    Daladala usiku zawa guest bubu

    Sio Amri ya Sita Ni ya Saba
  11. E

    The Golden Words of Hitler

    KAMBOTA: Asante sana kwa utafiti huu. Dunia ya leo inaitaji watu kama wewe wanaoweza kuangalia upande wa pili wa taarifa tunazopata kwenye vyombo vya habari. Asimilia kubwa ya kile tunacho ambiwa kwenye magazeti, Radio, TV, etc hua ni uongo. Lengo la viongozi wa dunia leo, ni ku control minds...
  12. E

    Wapanga kumburuza Babu wa loliondo kortini

    Walioenda kwa Babu walikua na imani kwamba Babu katumwa na Mungu kumbe wapi, katumwa na mashetani.
  13. E

    Wife amanichosha nataka kumtema lakini gharama !!-sina raha ya ndoa

    Mkuu, Kuna kitu kinaitwa MAOMBI, watakwambia mengi ila usipo mshirikisha BWANA yote ni bure. Lazima ukaze goti. Kuna jambo lolote linalo mshinda BWANA? BWANA kwetu ni kimbilio. U must claim for HIS promises, they are meant for you. Call upon HIM and HE will show you great things! I will always...
  14. E

    Afufuka Baada ya Siku Saba!

    Ndugu zangu wana JF, Lazima tuwe waangalifu katika siku hizi za mwisho. Mtupe Paul anasema ‘zichunguzeni kila Roho’. Bwana Yesu alipo ulizwa na wanafunzi wake juu ya siku za mwisho, tahadhari ya kwanza ilikua ‘… angalieni mtu asiwandanga’nye’ (Mathew 24 :4). Kipindi tunacho ishi ni kipindi...
  15. E

    Mugabe hawamwezi. Sasa aalikwa na Pope!

    If what I said is a lie I am sorry, but if its the truth, Bible Truth, I am not sorry; not in this world and the world to come! When its comes to saying the truth there is nothing like tolerance. Would u agree with me if I started claiming that 6 is 9? May the Lord Bless You!
Back
Top Bottom