New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

New Catholic Pope: Cardinal Jorge Mario Bergoglio

Hi kawaida tu. hata watu wasiomwamini Mungu wana sifa zaidi ya hizi. Maisha ya Mandela, Nyerere, Ghandi ni zaidi ya haya. Kwa level yake kama kiongozi wa dini nilitegemea kufahamu, ameleta watu wangapi kwa Yesu?
 
Ushauri wa bure kwa mleta mada, R.B. kila wakati hakikisha kuwa kichwa cha habari cha mada yako ni muhtasari wa yaliyomo kwenye mada. Sasa hapa wewe unaweka kichwa cha habari kuhusu mengi yaliyoibuliwa, ndani ya bandiko hayo mengi wala hayapo. Kama ulitaka kubainisha hayo mengi, mbona hujaongelea kuwa Pope vilevile ni shabiki wa kandanda, alifanyiwa operesheni katika pafu lake moja, au mtu simple asiyependa makuu. Usikurupuke kuweka bandiko tu, kumbuka hapa JF kuna watu makini.
 

Attachments

  • New Pope_Pope Francis I.jpg
    New Pope_Pope Francis I.jpg
    55.7 KB · Views: 222
  • Pope Francis_ former Card Jorge_Bergoglio 2008.jpg
    Pope Francis_ former Card Jorge_Bergoglio 2008.jpg
    12.1 KB · Views: 222
[h=1]Papa Francis: Maisha yake yaibua mengi[/h]
ico_plus.png
Share
ico_bookmark.png
bookmark
ico_print.png
Print
ico_email.png
Email Rating

papa.jpg

Na Florence Majani,mwananchi

Enzi ya ujana wake aliwahi kufanya kazi mbalimbali ikiwamo ya mlinzi wa mlangoni (baunsa) katika Bar, ili kujipatia fedha.



Papa Francis I aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

Enzi ya ujana wake aliwahi kufanya kazi mbalimbali ikiwamo ya mlinzi wa mlangoni (baunsa) katika Bar, ili kujipatia fedha.

Papa Francis aliteuliwa hivi karibuni kuliongoza kanisa hilo baada ya Papa Benedict XVI kutangaza kujiuzulu kwa sababu za kiafya.

Aidha, Papa Francis anatarajia kuongoza misa yake ya kwanza kesho katika Kanisa la Mtakatifu Peter, mjini Vatican.

Katika wasifu wake ulioandikwa mwaka 2010 na Francesca Ambrogetti na Sergio Rubin wa Shirika la Jesuit, Papa Francis I alikiri kuwa aliwahi kufanya kazi kama mlinzi wa mlangoni katika moja ya baa za Jimbo la Buenos, Argentina, ili kujipatia ada ya shule.

Papa huyu mpya ambaye jina lake halisi ni Jorge Mario Bergoglio, alisema kuwa rafiki yake wa kike alikuwa ni miongoni mwa kundi la marafiki aliokuwa akicheza nao muziki wa tango.

“Lakini baada ya kubaini kuwa natakiwa kuenenda kiroho, nilisitisha urafiki,” alisema alipohojiwa.

Papa Francis I amezaliwa katika familia yenye maisha ya kawaida, ambapo baba yake alikuwa mfanyakazi wa shirika la reli na mama yake alikuwa mama wa nyumbani.

Vilevile kuna taarifa zinaeleza kuwa Papa Francis, aliwahi kumpenda msichana mmoja na kutaka kuoa kabla ya kuingia katika utumishi wa Mungu.

Mwanamke huyo Amalia Damonte alisema kuwa aliwahi kutaka kuolewa na Papa, lakini alikataa.

“Nampa hongera Papa Francis, lakini nilikataa ombi lake la kutaka kunioa,” alisema Damonte.

Alisema Bergoglio alionyesha nia ya kumwoa akiwa na miaka 12 na alikataa kwa sababu wazazi wake wasingekubali akiwa katika umri huo.

Wewe uandishi ni sifuri
 
2.Kutaka kuoa mtoto wa miaka 12.

3. kucheza mziki wa Tango na kinadada warembo.

4..........hili halisemeki hazarani, dugu!

Yapi hayasemeki hadharani, yatawashindeni!!

There had been married Popes throughout history, however, there were none who married after they became pope. For many years of the Church's history, celibacy was considered optional. The Popes who were married include:

Saint Peter (Simon Peter), whose mother-in-law is mentioned in the Gospel verses Matthew 8:14–15, Luke 4:38, Mark 1:29–31. According to Clement of Alexandria,[3] Peter was married and had children, and his wife was martyred.[4] In some legends dating from at least the 6th century, Peter's daughter is Saint Petronilla.[5] Clement of Alexandria wrote: "For Peter and Philip begat children; [...] When the blessed Peter saw his own wife led out to die, he rejoiced because of her summons and her return home, and called to her very encouragingly and comfortingly, addressing her by name, and saying, 'Remember the Lord.' Such was the marriage of the blessed, and their perfect disposition toward those dearest to them.

Pope St. Hormisdas (514–523) was married and widowed before he took Holy Orders. He was the father of Pope St. Silverius.

Pope Adrian II (867–872) was married before he took Holy Orders,[8] to a woman called Stephania, and had a daughter. His wife and daughter were still living when he was elected Pope and resided with him in the Lateran Palace. They were murdered by Eleutherius, brother of Anastasius Bibliothecarius, the Church's chief librarian.

Pope John XVII (1003) was married before his election as Pope and had three sons, who all became priests.

Pope Clement IV (1265–1268) was married, before taking Holy Orders, and had two daughters, who both entered a convent.
 
Andika mambo ya maana ili uwe kwenye list ya waandishi watakao mwagiwa acid
 
  • Thanks
Reactions: awp
Binadamu tunakuwa wanafiki sana. Kila mara tunapiga kelele kutaka freedom of expression and opinion, cha kushangaza pale tunapoguswa kimaslahi na kiimani tunakuwa mbogo.

Mwandishi ametoa mawazo yake pamoja na kwamba hayatosherezi, kuanza kumshambulia ni kukiuka basic fundamental freedoms and human rights yake na yenu.

Watu kushangaa siyo ajabu hasa kwa wale wasiojua historia ya kanisa katoliki, ni jukumu la kanisa kuwafanya wasishangae.

Kama kanisa lilijiweka katika macho ya wananchi na ku-paint picture ya Papa kuwa ni mtu ambaye hakuwahi KUJIRUSHA wakati akiwa kijana basi inabidi ku-adjust hiyo image. Kwa mawazo kama haya, siyo ajabu lilikuwa linaweka chini ya carpet hata madudu ambayo mapadre wake walikuwa wanafanya.

kwani Papa anashuka kutoka Mbinguni, ama alizaliwa duniani na amekulia mbinguni?. Huyu ni binadamu kama mimi na anamahitaji kama yangu. Kwani Yesu aliposema amekuja kwa ajiri ya waliopotea alikuwa ana maana gani?.

THIS IS OPEN SOCIETY.
 
Hukujiandaa mkuu mapyas gani hayo ya kawaida hawakuzaliwa wakawa mapadre waliishi na kukua kama wengine
 
Binadamu tunakuwa wanafiki sana. Kila mara tunapiga kelele kutaka freedom of expression and opinion, cha kushangaza pale tunapoguswa kimaslahi na kiimani tunakuwa mbogo.

Mwandishi ametoa mawazo yake pamoja na kwamba hayatosherezi, kuanza kumshambulia ni kukiuka basic fundamental freedoms and human rights yake na yenu.

Watu kushangaa siyo ajabu hasa kwa wale wasiojua historia ya kanisa katoliki, ni jukumu la kanisa kuwafanya wasishangae.

Kama kanisa lilijiweka katika macho ya wananchi na ku-paint picture ya Papa kuwa ni mtu ambaye hakuwahi KUJIRUSHA wakati akiwa kijana basi inabidi ku-adjust hiyo image. Kwa mawazo kama haya, siyo ajabu lilikuwa linaweka chini ya carpet hata madudu ambayo mapadre wake walikuwa wanafanya.

kwani Papa anashuka kutoka Mbinguni, ama alizaliwa duniani na amekulia mbinguni?. Huyu ni binadamu kama mimi na anamahitaji kama yangu. Kwani Yesu aliposema amekuja kwa ajiri ya waliopotea alikuwa ana maana gani?.

THIS IS OPEN SOCIETY.

Sasa swali bado linabaki ni mapya gani hayo yaliyoibukaaa....Hakuna jipya hapo...
 
Sasa swali bado linabaki ni mapya gani hayo yaliyoibukaaa....Hakuna jipya hapo...
Mkuu, inawezekana kwako au kwa yule yakawa siyo mapya hata kidogo lakini kwa wengine yakawa ni mapya. Nimesema ni mapya kwa watu wasiomjua Papa au historia ya kanisa katoliki.
 
Hakuna jipya. Lakini hii ni kuonyesha ni kwa jinsi gani watanzania tusivyo wachokonozi tena kwenye zama hizi za TEHAMA. siku aliyochaguliwa wale waliojisumbua ku-Google walishajua kama jamaa alishawahi kuwa Baunsa, na mimi nimeipenda sana kwani kama atatokea Kadinali mkorofi ajue atakutana na Baunsa atamtuliza!!
 
Mmh Papa alikamata viuno vya warembo sana, na kuruka mapanga shah shah shah.
 
huyu bwana vp ndo mengi hayo!
Ulitaka yafike mangapi ndio uwamini kua ni mengi? Au unge ambiwa alijiusisha na mapenzi ya jinsia moja ndio unge amini kua ni mengi?
 
2.Kutaka kuoa mtoto wa miaka 12.

3. kucheza mziki wa Tango na kinadada warembo.

4..........hili halisemeki hazarani, dugu!

kwani we unajua Mama yako aliolewa na Baba yako akiwa ana miaka mingapi?Na unajua kabla ya hapo alikuwa na mwanaume gani?
 
Mtoto wa miaka 12? Huu ni ubakaji kabisa dah!
 
Kitoabu kinachobishaniwa ni kama kweli kuna "mengi mapya" yameibuka kwani ukisema mapya unamaanisha hayajawahi kusikika kwingine. Na habari hii ameinukuu kutoka kwenye Gazeti la Mwananchi, lakini kweli hayo yaliyoandikwa ni "Mengi" halafu ni "Mapya"? Tunaweza kujitia ujinga kwa kusema kwamba kuanzia mbili kuendelea ni "wingi" lakini kweli ukisema kuna watu wengi halafu ikaonekana waliopo ni watu watatu tu, wingi huo unajitosheleza kuitwa "wengi"?
 
Back
Top Bottom