Ndugu zangu wana JF,
Lazima tuwe waangalifu katika siku hizi za mwisho. Mtupe Paul anasema zichunguzeni kila Roho. Bwana Yesu alipo ulizwa na wanafunzi wake juu ya siku za mwisho, tahadhari ya kwanza ilikua
angalieni mtu asiwandanganye (Mathew 24 :4). Kipindi tunacho ishi ni kipindi hatari, tusipokua makini kwa kusoma neno la Mungu, itakula kwetu
Uongo wa kwanza wa shetani kwa mwanadamu ulikua ;Mwanzo 3:4
Ye shall not surely die. Contrary to what God said in Genesis 2:17
.thou shalt surely die.
Kwahio mtu yoyote akijitokeza na kuanza kutoa ushuuda au somo juu ya wafu lazima tumchunguze kwa makini kwa kutumia neno la Mungu, maana ungo wa shetani katika Mwanzo 3:4 upo pale pale, na shetani anatumia Biblia kupitia kwa watumishi wake kuendeleza udanganyifu wake ule wa mwanzo
Kwa maelezo ya Huyu bwana Tuwagaraimana, ni dhati kabisa kwamba jama ni muongo. Kama kweli alikufa na kazikwa, basi huyu ni shetani au mailaka wa shetani trying to impersonate the original Tuwagairaimana who is already in the grave rotting/roten. Kumbukeni shetani amewai ku impersonate Nabi Samwiri (1 Samwiri 28:3-25)
So Emanuel Twagaraimana is a spiritualist/medium at work. Other prominent mediums include Allison DuBois, Carla Mae,Sylia Browne, Lisa Williams,
.
Mafungu yafuatayo ya zingatiwe Zabuli 146:4, Ayubu 7:10, Ayubu 14:21, Muhubiri 9:5, an mengine mengi.
Remember, demons can- in a limited sense- sometimes foretell the future (1Samuel 28:3-25). Those who trust fortune tellers should be aware of this. Just because a person (like Babu wa Liliondo), or a spirit, accurately predicts some pending event, this is no proof of divine inspiration.
Otherwise I call such people or spirits Demons in Disguise D.I.D