Mugabe hawamwezi. Sasa aalikwa na Pope!

Mugabe hawamwezi. Sasa aalikwa na Pope!

Religious tolerance!

If what I said is a lie I am sorry, but if its the truth, Bible Truth, I am not sorry; not in this world and the world to come! When its comes to saying the truth there is nothing like tolerance. Would u agree with me if I started claiming that 6 is 9?
May the Lord Bless You!
 
If what I said is a lie I am sorry, but if its the truth, Bible Truth, I am not sorry; not in this world and the world to come! When its comes to saying the truth there is nothing like tolerance. Would u agree with me if I started claiming that 6 is 9?
May the Lord Bless You!
I wish you good luck. May the Lord Bless You too.

Please say, Amen!
 
Je, hapo Mheshimiwa Mugabe utamuweka kwenye kundi gani?

Hapa sasa Askari Kanzu unanionea bure.

Suala la kumtambua mwanadamu aliye mtakatifu kama ilivyo kwa aliye mwovu mbele za Mungu ni jukumu la Mungu Mwenyewe, yeye ndiye ajuaye ata yale yaliyo sirini, na hukumu yake haina makosa.

Msingi wa Mungu ulio imara umesimama, kwenye muhuri huu, Bwana Anawajua Walio wake na tena Kila aliitaye jina la Bwana na Auache Uovu, 2 Timotheo 2:19
 
Wenye afya hawahitaji daktari....

Nakubaliana nawe. Ila kwa yeyote aliyewahi kuiona zimbabwe wakati inapata uhuru na sasa, hawezi kumfagilia Mugabe hata kidogo.ile nchi imeteketea kabisa. na kwa wale walioshuhudia mauaji ya kutisha dhidi ya weusi wenzetu kisa tu ni wandembele wapinzani...hutapenda kumwona Mugabe kama icon wa kupingana na ubeberu wa Magharibi. Ni kweli wazungu wana lao lkn hata kwetu cc waafrika, Mugabe hatufai.
 
Habari ya kuhuzunisha ni kwamba, Mh. Mugabe ameshatangulia mbele ya haki.
 
Back
Top Bottom