Mambo vp wazee wenzangu!mimi kwa mtazamo wangu hapa bongo naona tuna masuper staa watatu tu,nao ni AY,HASHEEM THABEET,P.FUNKY AKA MAJAN.coz hawa jamaa wamefanikiwa sana kufanya mambo flan tofaut tofaut na kuteka au kutu represent fresh, tukianza na hasheem hope anajulikana kwa kupiga kikapu...