Baadhi ya kina dada wawapo faraga,Tabia hizi za nini?

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,535
1,650
Mapenzi au kupendana ni hatua kubwa sana kwenye mahusiano,sasa tabia ya kina dada kujifichaficha muwapo faraga nini maana yake?eti ukitaka kumshika sehemu anakutoa mkono,ukimgeuza huku utackia ooh mi sijazoea,je ni aibu au ndo ushamba?alafu akitaka kuvua au kuvaa nguo utamuona kachukua taulo au kanga kajifunika mabegani ili avae je mpaka unamkubalia mtu mnakwenda g house ina maana umemkabidhi heshima yako sasa iweje unakua huna uhuru?je nini hicho unachokificha kisionekane?au una makovu?au ulishawah ugua ugonjwa wa ngozi?wengne utawasikia zima taa kwanza jamani giza la nini wakati tukiwa uwanjani ni vyema tukawa tunaona?Jamani swala la tendo la ndoa ni swala lenye utulivu wa khali ya juu sasa unaposhikwa then unamtoa mwenzio mkono sijui unamaanisha nini?Kuwa huru coz umemkubal mwenyewe.
 
jamani wanawake wamumbwa na haiba sasa unataka akifika tu guest house asajle na kukukabidhi mzigo? kesho yake wewe mwenyewe utakuja hapa kulaani eti demu amekubuhu hana hata aibu. mwanamke shurti awe na aibu bana hata km ya kukuibia lkn ndo inavyotegemewa. imagine day one tu anakumwagia style zote halafu kesho yake unaingia mitini yeye atajisikiaje? na yeye hapo anakupima mkuu km umefika au mpita njia tu.
 
Hiyo ndo sifa mwanamke lazima awe na aibu. Au unataka mwanamke mcharuko ?
 
dah! kwa hasira hizi inaonekana greti thinka kajeruhiwa vibaya sana! dah! nazani angekuwa mod angepiga ban wanawake wote mchana wa leo.

Naona kaka ametuletea yaliojili usiku wa kuamkia jpili. Lakini si ndiyo heshima ya mwanamke jamani, manake nikifikiria nahisi hata mimi nafanya hivo hivo. Mmmmmmmh!!
 
Kokudo bwana bado unakwenda GH?? Hujaoa mpaka leo na experience yooote uliyonayo?/ Acha hizo bana. Mwanamke lazima awe na aibu ameumbwa na haya na uso wa soni
 
Lack of confidence! hata uwe mwembamba kiasi gani hata uwe mnene kiasi hata uwe na makovu kiasi gani confidence yako ndio itakufanya mwanaume akupende jinsi ulivyo. sasa ukianza kujifichaficha hapo ndio unampa reason ya kuanza kutaka kungalia na kuchunguza umbaumbau wako upasi wako mtindi madoa maunene na vinginevyo.
 
Mmmmmh wazee wakukagua sio, daaa maisha mengine sio ya kuchagua, manake unakaguliwa mpaka utumbo halafu ONCE for ALL. Duuuu bora kujikana tu nakutulia na Mungu.
 
Lack of confidence! hata uwe mwembamba kiasi gani hata uwe mnene kiasi hata uwe na makovu kiasi gani confidence yako ndio itakufanya mwanaume akupende jinsi ulivyo. sasa ukianza kujifichaficha hapo ndio unampa reason ya kuanza kutaka kungalia na kuchunguza umbaumbau wako upasi wako mtindi madoa maunene na vinginevyo.

Maybe hata aibu nayo ni feature.....
 
Naona kaka ametuletea yaliojili usiku wa kuamkia jpili. Lakini si ndiyo heshima ya mwanamke jamani, manake nikifikiria nahisi hata mimi nafanya hivo hivo. Mmmmmmmh!!
mimi kila mwanamke kakiona aibu aibu ndio kananipandisha mzuka lakini mheshimiwa kokudo inaonekana ni mstaafu wa jeshini anataka yeye na mdada watumbuliane mijicho kama wabunge wa uganda. khaa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom