Super stars wa bongo land | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Super stars wa bongo land

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ELIHURUMA, Aug 21, 2011.

1. E

ELIHURUMA Member

#1
Aug 21, 2011
Joined: Aug 28, 2010
Messages: 28
Likes Received: 0
Trophy Points: 3
Mambo vp wazee wenzangu!mimi kwa mtazamo wangu hapa bongo naona tuna masuper staa watatu tu,nao ni AY,HASHEEM THABEET,P.FUNKY AKA MAJAN.coz hawa jamaa wamefanikiwa sana kufanya mambo flan tofaut tofaut na kuteka au kutu represent fresh, tukianza na hasheem hope anajulikana kwa kupiga kikapu mpaka anacheza pale Nba,then Ay ni mwanamuzik aliyehustle na bado anakomaa kupenyeza muzik wake nje ya tz mfano juz kati kapiga colabo na wasanii wa huko wa marekan,then ashatusua kora,chanel o.then p.funk ameleta mapinduz makubwa kwenye muzik na kufanywa upendwe ndan na nje ya tz,respect to them.nawasilisha huu ni mtazamo wangu!

2. RayB

RayB JF-Expert Member

#2
Aug 21, 2011
Joined: Nov 27, 2009
Messages: 2,754
Likes Received: 88
Trophy Points: 145
Hapo aliyefanikiwa ni AY tu

3. K

KASRI Member

#3
Aug 21, 2011
Joined: May 2, 2009
Messages: 93
Likes Received: 3
Trophy Points: 0

Msaada wa kueleweshwa plzzzzzz!
Hivi superstar ni lazima awe kwenye fani ya burudani na michezo tu?????

4. Belo

Belo JF-Expert Member

#4
Aug 21, 2011
Joined: Jun 11, 2007
Messages: 11,280
Likes Received: 4,281
Trophy Points: 280
Lady Jay Dee ndio most succesfull artist in Tanzania

5. Amyner

Amyner JF-Expert Member

#5
Aug 21, 2011
Joined: Jul 13, 2011
Messages: 2,404
Likes Received: 54
Trophy Points: 145

Si ndo hapo sasa.. Because kuna watu kama betty mkwasa aliwahi shinda african journalist award, Asha rose migiro aliefika mpaka UN, apart from that hata katika burudani there are people who have gone further than that.. Ali kiba's collabo with kina r.kelly n etc, jaydee nae, Mr. Sugu n so much more!

6. E

ELIHURUMA Member

#6
Aug 21, 2011
Joined: Aug 28, 2010
Messages: 28
Likes Received: 0
Trophy Points: 3

ofcoz ndo mana nimesema ni mtazamo wangu jaman it means hata wewe u can view ur coment kwa kulist wakwako ili tuwajue na michango yao!

7. m

mbweta JF-Expert Member

#7
Aug 21, 2011
Joined: Dec 10, 2010
Messages: 600
Likes Received: 7
Trophy Points: 35
AY Zaman saiz kachoka hata haeleweki magumashi 2 yamemjaa.

8. kamikaze

kamikaze JF-Expert Member

#8
Aug 21, 2011
Joined: Jan 25, 2011
Messages: 202
Likes Received: 138
Trophy Points: 60
To be honest, kama muanzisha thread alivyosema kuhusu AY sidhani ni kama superstar, nimegundua kitu kimoja kutoka kwa AY, tracks anazofanya kushirikiana na wanamuziki wa bongo zinakuwa zina uafadhali kuliko alizoshiriana na wasanii wa nje, kwa mfano nimeangalia na kusikiliza kwa makini tracks aliyofanya na Lil Romeo, Sijaona uzuri wa ile tracks tofauti na nilivyotarajia, poor lyrics hasa verse ya AY na Lil Romeo, naona kwenye hii tracks ni yule dada walioshorikiana nae ndio kaipendezesha tracks, otherwise ni kelele tu, hata tracks aliyofanya na Psquare nayo haikubamba kivile nahisi mshikaji huwa anakurupuka kufanya feature na wasanii wa nchi hivyo namshauri aliangalie hili

9. u

utantambua JF-Expert Member

#9
Aug 21, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,373
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
toa vigezo vyako: kwanini unadhani ni yeye na si wengine?

10. u

utantambua JF-Expert Member

#10
Aug 21, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,373
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
afu hiyo nyimbo aliyotoa na lil romeo bora hata angetafuta collabo na east africana wenzetu ama wanaijeria. ni mbaya ajabu lakini utashangaa itakavo pewa airtime coz jamaa ni mtu wa mjini...kama ni collabo ziwe na akili basi tizama mr endowed ya d'banj na snoop kweli ni hit ya kiafrika

11. u

utantambua JF-Expert Member

#11
Aug 21, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,373
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
super stars wangu ni hawa
nyerere...anajulikana na kila mtanzania, hata mwenye miaka saba anamfahamu huyu kwa mazuri
filbert bayi na suleimani nyambui...walitupaisha katika riadha si mchezo miaka ileeee
mzee mwanakijiji...michango yake si mchezo...ni raia wa kawaida lakini yuko midomoni hata mwa wanasiasa wakubwa, kutokana na umakini wa hoja zake

kwenye burudani kina ay, jd hawana tofauti na wenzao wote kina chid benz, mabeste, ray c, prof jay etc...wote wana umaarufu wa vipindi, yaani kuna muda huwa hawasikiki na kuna nyakati wanasikika
huyo hashim thabeet kweli kafanikiwa kuingia NBA, that is all, huku nyumbani si maarufu kama unavo taka kutuaminisha, zaidi ni maarufu dar es salaam na baadhi ya miji mikubwa na maredioni, huku mawilayani hell no hajulikani kabisaaaa

12. m

mbweta JF-Expert Member

#12
Aug 21, 2011
Joined: Dec 10, 2010
Messages: 600
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

Kwa airtime itapata tu ila bdo cjaicheki ila ile collabo ya d'banj na snoop nyimbo imetulia sana yan.

13. King Kong III

King Kong III JF-Expert Member

#13
Aug 21, 2011
Joined: Oct 15, 2010
Messages: 25,153
Likes Received: 2,402
Trophy Points: 280
Hakuna Super star hata m1 kati ya uliowataja!!!!! Superstar gani anakula kwa mama ntilie? Super star gani anaendesha gari la Toyota? Super star gani akitembea mfukoni hana zaidi ya elfu 15?(Hasheem ashawahi kumsaidia adam mchomvu pale mlimani alimpa elfu 15 tu wakati adamu alikuwa anadaiwa zaidi ya hiyo hahahaha),super star gani hana hata nyumba ya kukaaa? yes namaanisha nyumba na si banda? wote hao ni waganga njaa tu!!! SUperstar gani ana bishara ya daladala??(AY ana daladala mbili hahahahaha) WOTE NI WAGANGA NJAAAA TUUUU..

14. Hassani

Hassani JF-Expert Member

#14
Aug 21, 2011
Joined: Jun 5, 2009
Messages: 267
Likes Received: 35
Trophy Points: 45
kwanini supastar asiendeshe gari la Toyota?

15. First Born

First Born JF-Expert Member

#15
Aug 21, 2011
Joined: Jul 11, 2011
Messages: 5,315
Likes Received: 96
Trophy Points: 145
mapenzi binafsi.

16. B

Bucad Senior Member

#16
Aug 21, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 120
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Mimi binafsi neno superstar lazima lihusishe vitu viwili,na vitu hivyo ni; umaraafu wa katambulika kwa kazi zako atleast sehemu kubwa duniani pamoja na pesa za kutosha zisizokuwa na mawazo.kwangu mimi huo ndio usuperstar hivyo siamini kama bongo kuna superstar maana wengi utakuta umaarufu wao ni wa east africa tu na bado pesa zao ni za mawazo na hao kina asha rose migiro wanafahamika duniani lakini bado mkwanja kwao ni wamawazo hasheem kidogo anafahamika world wide lakini kwa bongo bado anazidiwa umaarufu hata na juma nature!ingawa ana mkwanja kwa hiyo bado hajafikia usuperstar!

17. Bantugbro

Bantugbro JF-Expert Member

#17
Aug 21, 2011
Joined: Feb 22, 2009
Messages: 2,684
Likes Received: 132
Trophy Points: 160
Mkuu kama unazungumzia pesa nadhani utakuwa hujamtendea haki Hasheem Thabeet maana hakuna mwananmichezo au mwanamuziki yeyote katika Africa mashariki na kati ayemzidi kwa fedha anazopata. Mshahara wake kwa mwaka ni karibia Tsh billioni 6 (around dola za kimarekani million 4.5) kwa mwakaAngalia link hii hapa chini inayoonyesha wanamichezo wanaolipwa zaidi kwa kila nchi:ESPN The Magazine - The Money Issue - The best-paid athletes from 182 countries - ESPN

18. Bantugbro

Bantugbro JF-Expert Member

#18
Aug 21, 2011
Joined: Feb 22, 2009
Messages: 2,684
Likes Received: 132
Trophy Points: 160
Mkuu kama unazungumzia pesa nadhani utakuwa hujamtendea haki Hasheem Thabeet wa Houston Rockets maana hakuna mwananmichezo au mwanamuziki yeyote katika Africa mashariki na kati ayemzidi kwa fedha anazopata. Mshahara wake kwa mwaka ni karibia Tsh billioni 6 (zaidi ya dola za kimarekani million 4.7) kwa mwakaAngalia link hii hapa chini inayoonyesha wanamichezo wanaolipwa zaidi kwa kila nchi:ESPN The Magazine - The Money Issue - The best-paid athletes from 182 countries - ESPN

19. u

utantambua JF-Expert Member

#19
Aug 21, 2011
Joined: Aug 1, 2011
Messages: 1,373
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
duh adam na kujishebedua kote huko kumbe mfukoni gwaragwara hahahaha bongo bana...kazi kuvaa miwani kama bata tu na kusema yooo waram seyi

20. Bantugbro

Bantugbro JF-Expert Member

#20
Aug 21, 2011
Joined: Feb 22, 2009
Messages: 2,684
Likes Received: 132
Trophy Points: 160
Mkuu kama unazungumzia pesa nadhani utakuwa hujamtendea haki Hasheem Thabeet wa Houston Rockets maana hakuna mwananmichezo au mwanamuziki yeyote katika Africa mashariki na kati anaye-mzidi kwa fedha anazopata. Mshahara wake kwa mwaka ni karibia Tsh billioni 6 (zaidi ya dola za kimarekani million 4.7) kwa mwakaAngalia link hii hapa chini inayoonyesha wanamichezo wanaolipwa zaidi kwa kila nchi:ESPN The Magazine - The Money Issue - The best-paid athletes from 182 countries - ESPN

Loading...