Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

Jamani ebu mtizameni vizuri John Mnyika na Paul Kagame. Ndio utakubali maneno yangu
 
Kuna tetesi kuwa baadhi ya viongozi wanasemekana sio watanzania na ndio maana hawana uchungu na hii nchi na wako tayari kuona maamuzi yanapitishwa kwa masilahi yao binafsi.


Nawakilisha.
mie nadhani kuwa mtanzania wala sio ishu kubwa sana.....kuna fomu unajaza baada ya muda unakuwa mtanzania....... labda ungeainisha utanzania upi unaongelea? maana Tanzania ni nchi mpya imezaliwa mwaka 1964
 
Hoja haina mvuto! kila mtanzania akifuatilia historia yake.Na kurudi kuliko asiri yake.Hakuna mtu atabaki.
 
Jaman hii mikoa ya pembezon ni utata mtupu hasa huko north western Tz ni hatari,ukiwachimba wanakwambia waliingia Tanzania 1972 kutoka Burundi. Kuna wengine wafadhili wakuu wa magamba. Hata mbunge wa kigoma mujini ni wa nchi jirani.
Zitto Kabwe=Uvira, South Kivu, DRC
 
Hoja haina mvuto! kila mtanzania akifuatilia historia yake.Na kurudi kuliko asiri yake.Hakuna mtu atabaki.


historia tumeisoma vizuri juu ya bantu, nilotes etc tatizo ni kwamba mtu amabye uzao wa wazazi wake ni wahamiaji kamwe sitamuita mtanzania ila kama wewe babu yake na babu yako alizaliwa tanzania basi usihofu. we taja usiogope hata kama ni wewe sema na mimi ni mmoja wao
 
Is this Article Help US Politically ??? Or just as USUAL RUMOR MONGERING AS USUAL; WE NEVER SERIOUS...
 
chenge,rostam,lowassa,ngeleja,mkulo,makinda..hawana uchungu kabisa na nchi..sidhani kama ni wa tz.
 
Is this Article Help US Politically ??? Or just as USUAL RUMOR MONGERING AS USUAL; WE NEVER SERIOUS...


If it does not why using all your efforts in trying to comment on something you dont appreciate. were you a wise pesron you would have read the post and quit simple as that.

to help you this post is extremly usefully and important politically if you are in a position to define who a is tanzanian?
 
Wanaotoka kusini wote sio watanzania, wa kaskazini ni wa kenya, waganda na upande wa magharibi kwa kina mheshimiwa jepesi wengi ni wacongo, wanyarwanda na warundi kusini mashariki ni wenyeji wa nchi za msumbiji na maputo. Labda wenyewe ni wagogo. Nadhani tukianza kuchokoana tunakotoka basi nchi itabakia majengo na miti!
 
Una akili timamu wewe? hawa wanaitwa wahamiaji haramu, maanake hawana sifa ya uhamiaji, wanakuwaje wazuri? hivi wewe unaweza hamia kenya na uishi bila vibali? ama nawe ni mhamiaji haramu? nchi zote duniani sasa zinarudisha wahamiaji haramu wewe unasema ni uhamiaji haramu ni kitu kizuri! Hawa wanatufundishaje kuwa serious na maisha?

....go back to your History books usome na uelewe swala zima la immigration kuliko kuja na shallow conclusions zako driven by ignorance,you sound like Tanzanian version of Tea party,FYI many immigration zinaanza kama illegal lakini zinaishia kuwa legal mara nyingi,bila immigration hii dunia isingekuwa kama ilivyo leo hata America wazungu wote waliingia nchi ambayo haikuwa yao na wangeweza kuitwa illegal hata leo hii watoto wanaozaliwa America ambao ni minority wanazidi wa kizungu,hata wewe mwenyewe una uhakika babu yako sio mhamiaji hapo TZ? hakuna ubaya kulinda borders lakini kwako seems uhamiaji ni kama crime na uhamiaji wowote ni mgumu kwa kufuata sheria,hata hapa States 99% ya watanzania ambao ni legal wengi wao walikuwa illegal at one time lakini fought their way to get their legal status,watu wanapoamua kuhamia sehemu mara nyingi is for Economy reasons or security na wengi sio watu wabaya na ni hardworker,stop BS na kufanya swala la uhamiaji as a CRIME...ni nature ya binadamu to move from one place to another to better their lives(for thousand of yrs) lakini hakuna cha ajabu watu kama wewe wapo kila kona ya dunia hii ambao kila mhamiaji kwao ni kama criminal lakini at the end of the day huwezi kumzuia binadamu kutafuta maisha yake anapoona panafaa
 
Kumbe kunawakati Great Thinkers wacheza kombolela na tiyari-bado kwa ajili ya kurefresh. Naona kunawaokimbizana wa wengine wanatafutana mafichoni.
 
Back
Top Bottom