Mpweke!

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
321
Points
225

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2011
321 225
Mambo vipi jaman mi nikijana mwenye miaka 24, nimemaliza pale mliman mwaka huu, so bado nipo kitaa sijapata raman ya uhakika, nikiwa pale kuna dem nlikuwa nae ila soon 2lipomaliza huwezi amin nimepata info kua kaolewa!

Roho imeniuma sana jaman coz nlimpenda sana, by the way saiv niko single full upweke mwanzo mwisho, so nimeamua kutafta gf mwingine, so aliyeko tayari kuokoa jahaz pliz an pm, awe mweupe kiasi mrefu kiasi coz mi mwenyewe mrefu, asiwe mnene, din yeyote, elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, age 17 up to 24.

Then ntafurahi jaman! Aman kwenu wapendwa!
 

Apollo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2011
Messages
4,901
Points
2,000

Apollo

JF-Expert Member
Joined May 26, 2011
4,901 2,000
Kumbe pale mlimani ndio hizo ehh! Ngoja first year tuingie! Natania tu bhana. Ila kupata dem kwa net.. Inahitaji umakini.. Ila mbona umewasema weupe tu? Karolight zitakudanganya mkuu. Ohhoooo. :)
 

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Messages
321
Points
225

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2011
321 225
Kumbe pale mlimani ndio hizo ehh! Ngoja first year tuingie! Natania tu bhana. Ila kupata dem kwa net.. Inahitaji umakini.. Ila mbona umewasema weupe tu? Karolight zitakudanganya mkuu. Ohhoooo.
Yaa! Just b careful there fanya masomo haya mambo ya malove 2achie sie! Karolight naijua so mi nataka white natural ka ya kimbulu na kirangi vile!
 

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Messages
855
Points
195

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2011
855 195
Kumbe pale mlimani ndio hizo ehh! Ngoja first year tuingie! Natania tu bhana. Ila kupata dem kwa net.. Inahitaji umakini.. Ila mbona umewasema weupe tu? Karolight zitakudanganya mkuu. Ohhoooo.
Apollo kama unao wawili mpe jamaa m1 bac aondoe upweke natania bwana! Ila kweli msela awe care2 hawa wapnz wa kwny mitandao sa nyingne ni nomaaa!
 

ELIHURUMA

Member
Joined
Aug 28, 2010
Messages
28
Points
20

ELIHURUMA

Member
Joined Aug 28, 2010
28 20
Duu una age 24,bado 6 yrs ukanyage 30, duu fanya fasta bwn upate mtoto wa kustick nae forever,hey wadau mpo wap? Mpen msela dili apunguze upweke! Ok am out bro nyagidry na mjan"
 

Forum statistics

Threads 1,382,432
Members 526,380
Posts 33,828,478
Top