Kuwa Serious mkuu, Kweli mna majeraha kuzidi timu nyingine!!??
L'Pool akianza ligi CF wake alikuwa Jota akapata Majeraha, TAA, Diaz, Konate, Allison hawa wote wamekuwa wakipishana kwenye Infirmary,
CITY wamekuwa wakiwakosa kwa awamu KDB, Rodri, Stones, Ederson, Kovacic, Dias na wana msimu...