whitemoney
JF-Expert Member
- Nov 9, 2023
- 1,190
- 2,541
Hivi kikosi ndo kitaakuwa hichihichi auGame na city ndio itakuwa the real test kwetu.
Tukipata hata draw itakuwa tu poa
Hivi kikosi ndo kitaakuwa hichihichi auGame na city ndio itakuwa the real test kwetu.
Tukipata hata draw itakuwa tu poa

league goals since his Premier League debut in September 2020, more than ANY OTHER centre-back in Europe’s top five leagues in that time. 
Ushindi wa tabu sawa lakini ndio mpira jembe la mkono ,kweli arsenal total passes ni 138 mpira mbovu sana .


Wazee wa papatu papatu, kwa hili pila la ujanja ujanja arsenyau top 4 hawatoboi msimu huu

Ndg kama KDB Hatishi ni sawa,kama Rodri aliyecheza almost mechi 80 bila kufungwa mpaka sasa kila lakheri,kama Haland migoli anayopiga kila siku ni wa kawaida basi epl nzima hakuna mshambuliaji,kama savihno wa kawaida heri kwako,foden the mvp sio wakutisha sawa tuko hapa ,gravidol,silva,gundogan ,Akanji,Lewis etc TUTAJIE TEAM yenye wachezaji wa kutisha tuijue .Man city hawana wachezaji wengi wa kutisha ila wanacheza kwa kutisha.
Unakaa mbele ya goli kuna doku,savihno,silva ,ilkai,kdb,foden nafikiri team itakayocheza namna hii itakuwa na siku ndefu sana bora ufanye high pressing au midblock kwa ukamilifu wa asilimia 90 utapata chochote kwa city ,city wanao watu wa kufungua kufuli ngumu na laini .Pep amekazana kucheza back 3 tangu msimu uliopita na inamlipa vizuri ambacho sielewi ni kwanini makocha hawajajua weakness ya hii formation bado.
Conte alifika kwa makenge msimu wa kwanza akatumia back 3 ikamlipa msimu uliofuata ikawa ishajulikana kwamba back 3 ni long balls, through pass na transition ndiyo dawa kuu. Akatimuliwa.
What's different with Pep? Ni kwavile back 3 yake inasuffocate wings inakufosi upitie kati ambako unakuta kawaweka wakina Rodri press resistant na wakina Silva wanaosema hawana haja ya kujaza mwili kwa sababu wanajua kutumia miguu?
Au ni hofu ya timu zenyewe? Notice kwamba City anashinda bila clean sheet, this means one day atakutana na timu itascore halafu itarudi kukaa mbele ya goli.
Nafikiri pia kwavile wanamiliki mpira muda mrefu inazidi kuwapa advantage.Unakaa mbele ya goli kuna doku,savihno,silva ,ilkai,kdb,foden nafikiri team itakayocheza namna hii itakuwa na siku ndefu sana bora ufanye high pressing au midblock kwa ukamilifu wa asilimia 90 utapata chochote kwa city ,city wanao watu wa kufungua kufuli ngumu na laini .
Kdb, Rodri na Halaand hao wengine wachezaji wazuri tuu hata timu nyingine wapo, huyo savinho labda anatishia nyauNdg kama KDB Hatishi ni sawa,kama Rodri aliyecheza almost mechi 80 bila kufungwa mpaka sasa kila lakheri,kama Haland migoli anayopiga kila siku ni wa kawaida basi epl nzima hakuna mshambuliaji,kama savihno wa kawaida heri kwako,foden the mvp sio wakutisha sawa tuko hapa ,gravidol,silva,gundogan ,Akanji,Lewis etc TUTAJIE TEAM yenye wachezaji wa kutisha tuijue .
PEP Mostly anatumia Back 4, Anachofanya PEP ni Line Up inayoonekana na watu 3 Nyuma ila lazima awe na FullBack mmoja anayesogea kwenye Midfield (Anakuwa na 4 Defenders, Ila Back 3 Mostly inakuwa na 5 Defenders)Pep amekazana kucheza back 3 tangu msimu uliopita na inamlipa vizuri ambacho sielewi ni kwanini makocha hawajajua weakness ya hii formation bado.
Conte alifika kwa makenge msimu wa kwanza akatumia back 3 ikamlipa msimu uliofuata ikawa ishajulikana kwamba back 3 ni long balls, through pass na transition ndiyo dawa kuu. Akatimuliwa.
What's different with Pep? Ni kwavile back 3 yake inasuffocate wings inakufosi upitie kati ambako unakuta kawaweka wakina Rodri press resistant na wakina Silva wanaosema hawana haja ya kujaza mwili kwa sababu wanajua kutumia miguu?
Au ni hofu ya timu zenyewe? Notice kwamba City anashinda bila clean sheet, this means one day atakutana na timu itascore halafu itarudi kukaa mbele ya goli.
Kwa msimu uliopita Pep aliweka hadi mabeki watano katika back 3 ila jana pure defenders walikua 3 na DMs wawili.PEP Mostly anatumia Back 4, Anachofanya PEP ni Line Up inayoonekana na watu 3 Nyuma ila lazima awe na FullBack mmoja anayesogea kwenye Midfield (Anakuwa na 4 Defenders, Ila Back 3 Mostly inakuwa na 5 Defenders)
BuilUp yake inakuwa 3~1~3~3 Diamond ambayo Kiasi kikubwa Msimu huu Rico Lewis anakuwa anasogea kwenye MD (Misimu kama Miwili Nyuma amekuwa akimtumia zaidi Stones), Wawili wa Mbele yake wanakuwa CM & DM (Holding zaidi kwa Namna PEP anamtumia), KDB anakuwa anacheza Nyuma ya Haaland Pembeni "Isolated Wingers" Kama Savinho, Doku & Grealish kwa Msimu huu kitu ambacho kimekuwa kigumu Kumu-Accomodate Foden moja kwa Moja kwenye timu maana PEP anatengeneza advantage ya Wings zake kuwa kwenye Situations nyingi za 1 v 1,
CONTE Back 3 alikuwa anatumia yenye LIBERO (D.LUIZ) Na alikwa na Wingbacks (Hii ni Traditional Back 3) Uingereza Ilikuwa Ngeni Kiasi ndo Maana alisumbua nayo na akawa Mwalimu wa Kwanza fikisha 30 wins Per Season, Msimu Ulofata Kufeli kwake kulichangiwa na kutopewa Maboresho Bora alimhitaji Naingolan, Candreva, Sandro, VVD, ila Kina Marina wakamletea Bakayoko, Emerson, Zappacosta, Drinkwater na Rudiger
LVG Aliitumia UTD Ila Quality hakuwa nayo (McNair, Smalling, Borthwickjackson, Varela, Blackett) akaishia kuwa na Possession Kubwa isiyo na maana
Unakaa mbele ya goli kuna doku,savihno,silva ,ilkai,kdb,foden nafikiri team itakayocheza namna hii itakuwa na siku ndefu sana bora ufanye high pressing au midblock kwa ukamilifu wa asilimia 90 utapata chochote kwa city ,city wanao watu wa kufungua kufuli ngumu na laini .
Hawa j2 tunacheza nao vzuri tu....na hawatupi shida yyte....mwaka jana wametupa point 4...mwaka huu wajiandae kutupa 4 tena nyingine....habari za kupita katikati sijui kusukuma mabeki za Haaland hazitakuwepo....hyo Savinho anapewa kufuli Timber ahangaike nalo huko....Mchele wa mbeya akirudi pale kati na Babu Partey wakisaidiwa na mzee wa busara Jorginho tunapaki kontena tena🤠🤠🤠....na kijana machachari Calafiori atakuwepo siku ya tukio...Hawa hawatufungi....hzo biashara zilishaisha msimu wa mwaka juziUnakaa mbele ya goli kuna doku,savihno,silva ,ilkai,kdb,foden nafikiri team itakayocheza namna hii itakuwa na siku ndefu sana bora ufanye high pressing au midblock kwa ukamilifu wa asilimia 90 utapata chochote kwa city ,city wanao watu wa kufungua kufuli ngumu na laini .
Watu wanahisi kupaki basi kazi nyepesi.Hawa j2 tunacheza nao vzuri tu....na hawatupi shida yyte....mwaka jana wametupa point 4...mwaka huu wajiandae kutupa 4 tena nyingine....habari za kupita katikati sijui kusukuma mabeki za Haaland hazitakuwepo....hyo Savinho anapewa kufuli Timber ahangaike nalo huko....Mchele wa mbeya akirudi pale kati na Babu Partey wakisaidiwa na mzee wa busara Jorginho tunapaki kontena tena🤠🤠🤠....na kijana machachari Calafiori atakuwepo siku ya tukio...Hawa hawatufungi....hzo biashara zilishaisha msimu wa mwaka juzi
Angalau hata umetoa la rohoni, vipi si umepata nafuu eeh. Pole aseeWazee wa papatu papatu, kwa hili pila la ujanja ujanja arsenyau top 4 hawatoboi msimu huu
View attachment 3097013