Conte ndo Mwalimu karudisha Role ya "Libero" Miaka ya Karibuni EPL na ameirudisha kwa kumtumia D.Luiz
Upo Sahihi haikutumika kwa Miaka Mingi , OGS akamtumia Maguire kama Libero, Bayern alikuwa Hummels na Allegri alikuwa akimtumia Bonucci, Stones akiwa na England ametumika kama Libero Pia
LIBERO anakuwa ni Yule anayebaki nyuma ya Back line nzima, Role yao miaka ya Nyuma ilikuwa Imetawalina na "Sweeping" kwenye CATTENACCIO ila karibuni imeboreka mara nyingi wao wanakuwa Progressor kuanzia Phase ya kwanza,
Ndicho alichokuwa akifanya CONTE kwa Luiz kukaa kati ya Cahill + Zouma/Azpilicueta
View attachment 3099933