Endelea kuota kenge weweLeicester na Barca mnipe furaha leo nilale vizuri
Bado hujalala tuLeicester na Barca mnipe furaha leo nilale vizuri
We nae una makelel, bebeni uefa mlingane na notinghamPunda kabisa
Mara nyingi tumekua hatuendi zaidi ya maneno ambayo tumepachikana, liverkuku, chelkenge, nyumbu, punda, manure, manyoo n.kWe nae una makelel, bebeni uefa mlingane na notingham
Jinga kbsaa
Hivi kuna mtu alimuamini hamis77 kuwa United hii inashuka daraja!Pira biriyani
Pira sambusa
Pira udambwiudambwi
Wahuni waleeeeee hawashuki Tena daraja😁😁😁😁😁
Ingekuwa arsenal ya misimu miwili nyuma ningekubali, ya msimu huu ni mbwa koko kabisa wale. Hata kwa form hii ya united wale wajinga tunajipigia tu.Aseno au psg mmojawapo ananyanyua kwapa
Kwa msimu huu hamshuki daraja kwakua walio chini yenu ni wabovu zaidi.Hivi kuna mtu alimuamini hamis77 kuwa United hii inashuka daraja!
Siku arsenal akichukua ndoo ya UCL, msimu unaofuta ndio tutashuka daraja. Fikiria Arsenal ya arteta kubeba UCL sasa.
Utaloesha shuka.Aseno au psg mmojawapo ananyanyua kwapa
SahauUbaya wa mechi ya jana ni kwamba mmeshinda. Uzuri wake ni kwamba mmeshiriki kikamilifu katika kuchangia kushuka daraja kwa legend wenu Van Nistelrooy.
Tunapokea hilo la pili kwa mikono miwili. Kufungwa mtafungwa na wengine.
Quenda to chelsea sijafurahia taarifa hizi, tusubirie wilcox na vivell watatuletea chaguo lipi.
maisha ya kumuangalia dalot kila wiki yapungue
Mkuu nje ya mada kidogo, vip? Tunaweza kubeba Europe, maana hii itasaidia pia kuvutia wachezaji kwakua msimu ujao tutashiriki uefa.Quenda kwenda CFC habari nzuri sana, UTD kwa namna ilitaka mtumia ingekuwa ni kuchelewesha maendeleo yake. Kingine dili lake linampa nguvu kubwa sana "AGENT" juu ya timu. (CFC Hawajui nini wanataka pale maana wana Palmer, Paez, Estevao, Neto, Madueke, Tyrique, Wote wanaweza kuwa RW/LW)
Kuna mbadala wa Quenda, Roger Fernandes, Kwa ile role ya RWB kama timu inataka kwenda na (Unorthodox WB's) yeye ni bora zaidi kwenye kuzuia,
Mpira unabadilika na tunaokelekea hii 3 CB's itakuwa ni mfumo wa kuendea, Bundesliga wahafidhina wa 4~3~3 wengi wanaswitch kwenye 3~4~3 na Variations zake (3~4~1~2, 3~4~2~1)
Serie A karibu nusu ya timu ligi nzima zinaenda na mfumo huu, Ligue 1 nao mpaka De Zerbi ndo umekuwa mfumo wake rasmi.
Huu mfumo unahitaji "Zonal Experts" na ukitoa CB's eneo lingine muhimu zaidi kwenye mfumo huu ni WB's (Wingbacks) Ila bado naamini kwa Traditional WB's kwa kuanzia UTD ingepambana kumpata Vanderson ama Raoul Bellanova. Yule Frimpong ile Physicality yake kwa EPL changamoto (aina za Lamptey + Barco) UTD inatakiwa fanya Bullying hayo maeneo kama Dorgu namna anafanya (unavamia). EPL Combo bora kufanya vizuri ni (Physicality + Technicality) Hii ukiongeza na Mentality ambayo Mwalimu ana sehemu yake kubwa pamoja na idara ya Usajili mafanikio ni nje nje.