Bachelor OG
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 1,195
- 1,467
Toa hela bossYule Joan Garcia GK wa espanola anajua muthafukha, tumsajili
Toa hela bossYule Joan Garcia GK wa espanola anajua muthafukha, tumsajili
Na nyie si mtawaringishia zubimendi mkuu.Fainali ya Manyumbu na Tottenham iko hovyo kwetu. Yeyote atayeshinda, tutajaziwa nzi humu.
Kwa Arsenal, nadhani mashabiki, haswa wa England, wataona ni bora washinde Manyumbu maana kelele zao tumezizoea, wao vyura sisi tembo. Ila Tottenham wakipata kombe, jeuri yao haitakuwa ya dunia hii.
Tukimalizana vizuri, naona huyu ni mbadala Jorginho. Hatutanunua DM hata Partey akiondoka maana Arteta atamfanya Lewis-Skelly kuwa mbadala wa Partey.
Hao wote wanajuta sahizi ni vile hawasemi, wote wamepishana na medali.Yani unachukua kombe afu huvutii wachezaji, hii ni case ya Liverpool na chelsea, tofauti Chelsea wao humwaga hela case ya Mudryk
Hivi hawajui kuwa Rice tulimchukua mbele ya City na Bayern, Harvertz tulimchukua mbele ya Madrid na BayernView attachment 3329754
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bila ya kutafuta kocha wa kueleweka na kuendelea kumuamini Tetea Kiwigi hata mkimsajili Pedri, Yamal, De jong, Bellingham, Vitinha, Kvara na Mbappe mtaendelea kua wapenzi wasindikizaji tu.Tukimalizana vizuri, naona huyu ni mbadala Jorginho. Hatutanunua DM hata Partey akiondoka maana Arteta atamfanya Lewis-Skelly kuwa mbadala wa Partey.
Sasa tupate mbadala wa Odegaard na Trossard, Saka na Martinelli. Pia striker mmoja kumsaidia Kai maana nadhani Jesus hatacheza tena mpira. Then tumalize na kipa.
Nini hiki?Tukutane meiView attachment 3329840
Masta huwaga una hoja nzuri sana za kimpira ukitoa "UNAZI" Yani unawadhihaki Timerlane na Joh Doe katika hili!!Na huu ndio uchambuzi wa kitanzania, na wachambuzi wengi kwa redio zetu wana uwezo mdogo wa kufikiri kama huyu, kwamba tatizo ni saikoloji, yani Arsenal tuna timu bora kwa miaka mitatu nyuma kuliko hata Man city iliyochukua treble, typical Tanzanians.
😀😀😀 baada ya wewe kumkosa unamuita Zubeda 😀😀😀Unataka ubingwa una sajili Zubeda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Maktaba ya Jamii Sports[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bila ya kutafuta kocha wa kueleweka na kuendelea kumuamini Tetea Kiwigi hata mkimsajili Pedri, Yamal, De jong, Bellingham, Vitinha, Kvara na Mbappe mtaendelea kua wapenzi wasindikizaji tu. View attachment 3329977
Huyo ni mnazi wa hamis77[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapa mkorea anakwambia hesabu zake bado zipo valid, Liverpool watamkamata February, halafu kati ya Uefa au Epl kombe moja lazima wanaruka nalo.
Uzuri ukifika muda wa kukabidhiwa chenji zao wote wanalikimbia jukwaa lao.
Yaani kabisa uchukue Uefa au Epl kocha ni Tetea Kiwigi?
Hivi wakati mnajigea hayo makombe mnakuaga mpo sawa au tuilaumu gambe? View attachment 3330040
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kuna yule chawa mwingine arsenal2004 huyo ndio kasusa kabisa kuingia humu hataki tena kusikia habari za mipira, tokea Masingeli alivyowaahidi msimu ulioisha watabeba treble halafu wakatoka mikono mitupu jamaa alitia kiberiti jezi zake zote, halafu akaenda zake kwa Mwamposa kupata wokovu, sasa hivi muda mwingi anashinda zake kanisani tu, anakwambia hii mipira ni ubatili mtupu, anadai mpira ni mpango wa Lucifer kupambana na wokovu.Huyo ni mnazi wa hamis77
(kakimbilia kwenye utumishi na kujifanya anachambua holy books)
Oya Flano wanawake wetu wanawaongoza wanawake wenu kule. Mechi ya mwisho hii. Tukishinda tunaingia group Champions League bila kupambana kwenye play-offs.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema fuentte unawajua vizuri mashabiki wa Shenali utafikiri wewe ndio baba yao mzazi. View attachment 3330064