Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Brighton vs Arsenyo kura zimeangukia kwa huyu fundi.
1736021383394.jpg
 
Ngoja tutoe elimu ya bure kwa false hopers wote humu ndani kina castr , mkorea , henry na wengine wote.

Cha kwanza kabisa muelewe huu ni mpira hauendeshwi na false hopes bali performance ndani ya uwanja, ili uweze kuwa bingwa atleast uwe na 3 world classic players ndani ya team yako.

Beki 1 ambae ni world classic player , kiungo mmoja na striker mmoja wasipungue zaidi ya hapo , na kama sehemu mmoja kati ya hizo 3 hamna basi mbele pawepo na zaidi ya mmoja.

Amini amini nakuambia huwezi chukua ubingwa kwa kumtegemea martinelli , trossard , kai , saka na gabriel jesus . This are average players lakini ndani ya ulimwengu wa matumaini bandia kwenu ni kama world classic player ndo tatizo hilo linapoanzia.

World classic player pale arsenal ni mmoja tu william saliba halafu ni beki sasa ndo kama mnavyoona defence nzuri , tukija kati zero tukienda mbele zero mnabaki kushikana mashati na wengine kulikimbia jukwaa
 
Chelsea kasuluhu.

Lakini hakuna atakayeshangaa.

Nikisema standards naambiwa naongopa.

Nani ashangae wakati kila mmoja anajua chelsea ndo kwanza anajitafuta. Kuna kipindi chelsea akidraw watu tulikua tunashangaa lakini sio sasa.

Enzo ndo kwanza hana hata miezi 5 ndani ya chelsea lakini yupo fresh , bado anaitafuta top 4 , arteta huu msimu wake wangap pale arsenal?
Labda nikukumbushe tu arteta ni msimu wa 6 huu with zero major trophies .

Arsenal kwenye best form yenu hamna kombe lolote lakujivunia , chelsea kwenye best form anajivunia uefa 2 epl kibao na europa kibao .

Arsenal ana standard gani mzeee aah unajua nyinyi hili jukwaa mmelichukulia uwanja wa comedy nini?? Isije kuwa sisi kina flano na wengine tupo serious kumbe nyinyi wenzetu mmechukulia hapa ndo platform ya comedy nembu tuambiane mapema kabisa .
 
Twende taratibu tu mzee baba, February nimesema tutakua juu pale

Upo serious kaka au humu mnakuja kufanya comedy as arsenal fans?? Baada ya muda mnapotea jokes zikiiisha . Embu mtujuze mapema tushaanza kupata wasiwasi asee!!
 
Kama mko serious dirisha lipo wazi wachezaji wafuatao muwauze

Odegaard
Partey
White
Wale Gabrieli wote watatu
Zinchenko
Haverts
Trossard

Yani mmejaza magarasa tupu hivi nyie mnapoisifia Arsenali yenu humu huwa mnakuwa under influence ya alcohol Au?
 
Nani ashangae wakati kila mmoja anajua chelsea ndo kwanza anajitafuta. Kuna kipindi chelsea akidraw watu tulikua tunashangaa lakini sio sasa.

Enzo ndo kwanza hana hata miezi 5 ndani ya chelsea lakini yupo fresh , bado anaitafuta top 4 , arteta huu msimu wake wangap pale arsenal?
Labda nikukumbushe tu arteta ni msimu wa 6 huu with zero major trophies .

Arsenal kwenye best form yenu hamna kombe lolote lakujivunia , chelsea kwenye best form anajivunia uefa 2 epl kibao na europa kibao .

Arsenal ana standard gani mzeee aah unajua nyinyi hili jukwaa mmelichukulia uwanja wa comedy nini?? Isije kuwa sisi kina flano na wengine tupo serious kumbe nyinyi wenzetu mmechukulia hapa ndo platform ya comedy nembu tuambiane mapema kabisa .
Fact.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😃😃😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

Yaan uchukue ubingwa kiungo mkabaji yule mlenda rice😀😀😀😀😀

Wanangu mm ball nimecheza rice ni mchezaji wa akiba

Ubwa nyie 😀😀😀😀😀😀
 
Sometimes hua inachekesha ila ndiyo inakua imeshatokea. We did everything wrong kuanzia team selection na ideas za Arteta mpaka team kuanzisha mashambulizi na kwenda mbele.

Tulicheza dhidi ya united Martinelli alipata mpira akawa 1 v 1 against Dalot akiwa katikati ya uwanja, akafalse dribble mpaka usawa wa ball boy kisha akageuka akarudisha mpira nyuma. Quality kubwa ya Martinelli ni pace, Henry akasema wakati anacheza mpira akigewa pasi akajikuta usawa wa ball boy basi huyo beki atakua na kazi ya kumkamata.

Decent wingers do this. Martinelli used to do this. Kisha ghafla timu nzima ina ugonjwa mmoja, sideways passes na back passes. Ndiyo sababu Nwaneri anaonekana threat kwavile yeye akipata mpira anafight kwenda mbele.

Mitandaoni unaona baadhi ya mashabiki wanasema pengine hii blessing in disguise. Itaforce kusajili. Nikawaambia ni ngumu kupata decent signing in January, wakajenga hoja mbona Virgil alisajiliwa January? I never knew this but haitoi ishara yoyote kwetu.

Kwanza, Arteta anasema anataka afocus na solutions za ndani, jana was among the internal solutions, pili haamini kama kuna fursa nzuri sokoni.

City smashed Westham 4 - 1. Uchawi upo blah blah but City is 11 points from first position kama akimsajili Omar na Ederson mpaka February inakuja tutakua na title race mpya kabisa.

Seriousness ya Arsenal inabidi ireflect nje ya uwanja. Dirisha hili
 
Arteta katufikisha hapa, ni majonzi tu 5 years.
 
Arsenal ipo CL, ipo EFL, ipo FA na ni ya pili kwenye ligi.

Arsenal imepoteza michezo 2 mpaka muda huu.

Ngoja nitoe mfano.

Mume anaweza kua anacheat, na mke anajua kua mume wake anacheat. Na akajua siku hiyo mume yupo na huyo mchepuko roho itamuuma.

Ila mume akirudi akasema simu imevunjika na akaionyesha ilivyovunjika mke atachekelea. Wote tunajua simu kuvunjika haitazuia mume kuendelea kucheat, in fact inawezekana kesho yake tu mume akarudi tena kwa mchepuko. Ila mwanamke atafurahia hii simu kuvunjika ni kama anamaanisha hujatulia ndiyo maana simu imevunjika.

Kucheat ni biggest picture. Simu kuvunjika ni small picture. Hiki kitendo cha kufurahia simu kuvunjika ingawa ni small picture na haitavunja biggest picture kinaitwa 'Small Victories' kwa kawaida (psychologically) wanawake hua wepesi kushangilia small victories. Inahisiwa ni kwavile they feel powerless so inabidi wafurahie small victories.

Kama utaweza relate huu mfano na kinachoendelea you are welcome.
 
Back
Top Bottom