ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,685
- 24,717
Ndio tunabebaMkuu nje ya mada kidogo, vip? Tunaweza kubeba Europe, maana hii itasaidia pia kuvutia wachezaji kwakua msimu ujao tutashiriki uefa.
Ndio tunabebaMkuu nje ya mada kidogo, vip? Tunaweza kubeba Europe, maana hii itasaidia pia kuvutia wachezaji kwakua msimu ujao tutashiriki uefa.
Na ndiyo eneo limemfukuzisha kazi usajili wa Mason Mount haukuwa na maana yoyote ni bora Ten Hag angetumia pesa hiyo kumsajili Morgan Gibs White au Jacob Ramsey.Tetesi za usajili wa midfield hazisikiki na ndio eneo moja muhimu zaidi.
Yawezekana Amorim anawatazama kwa jicho tofauti Tobby Collier, Kobie na Ugarte.Tetesi za usajili wa midfield hazisikiki na ndio eneo moja muhimu zaidi.
Europa safari yenu itaishia kwa Olympic Lyon au athletic Bilbao ya Nico Williams 🤣🤣🤣Mkuu nje ya mada kidogo, vip? Tunaweza kubeba Europe, maana hii itasaidia pia kuvutia wachezaji kwakua msimu ujao tutashiriki uefa.
BhangiEuropa safari yenu itaishia kwa Olympic Lyon au athletic Bilbao ya Nico Williams 🤣🤣🤣
Naona Kama timu yetu imeanza kuamka, tunaweza kupenya Hadi fainali.Europa safari yenu itaishia kwa Olympic Lyon au athletic Bilbao ya Nico Williams 🤣🤣🤣
Mkuu nje ya mada kidogo, vip? Tunaweza kubeba Europe, maana hii itasaidia pia kuvutia wachezaji kwakua msimu ujao tutashiriki uefa.
Nimekupata mkuu, kiukweli bado kuna challenge kubwa kwenye kubeba EUROPAMkuu EUROPA ni michuano ya mtoano kwa hatua imefika na Michezo ya Hivi huwa inabebwa zaidi na mbinu! UTD Mpaka sasa ni timu ambayo haijafungwa ila pia haijawa bora. Ila kwa kundi lililobaki na UTD inaimarika kiasi Uwezekano wa kuwa Bingwa Upo.
LYON wana ATT nzuri sana asee na moja ya wachezaji UTD inabidi waangalie kwenye nafasi ya L10 ni Rayan Cherki wakikutana atatoa nafasi ya kujiuza kabisa na anapatikana kwa £22m kwa sababu timu yao ina matatizo ya kifedha. UTD wana faida anzia ugenini na kurudi kwa wachezaji wengi toka Majeruhi.
Upande wa Pili wale Frankfurt sio timu ya kuichukulia poa sana!
Unajiskia ufahari kiasi Gani kutukana watu ovyo kisa ushabiki maandaziPunda kabisa
Hua unakua wapi wenzako wakiwa wanatukana chief?Unajiskia ufahari kiasi Gani kutukana watu ovyo kisa ushabiki maandazi
Nawaza sana mount amesajiliwa kwa kigezo kipi? Anastahili kufukuzwaNa ndiyo eneo limemfukuzisha kazi usajili wa Mason Mount haukuwa na maana yoyote ni bora Ten Hag angetumia pesa hiyo kumsajili Morgan Gibs White au Jacob Ramsey.
Ni wachezaji wakiingereza ambao wangekuwa na uwezo wa kuipandisha timu.
Hapa alitumia akili kuichanganya tinu pinzani na kueavuruga wachezaji wake piaBabu kama babu
Usajili wa hovyo sana kuliko sajili zote alizofanya Ten HagNawaza sana mount amesajiliwa kwa kigezo kipi? Anastahili kufukuzwa
Usajili wa hovyo sana kuliko sajili zote alizofanya Ten Hag
Huyu Leny Yoro nae kila mara anaumia?View attachment 3280814
Mwaka wetu huu
Nyeto babaHuyu Leny Yoro nae kila mara anaumia?
Mtoto umri mdogo leny nyoro sahv tu pancha umri ukienda huko si atakaa Msimu mzima njeView attachment 3280814
Mwaka wetu huu