Kumbe Dr. shika amekaa Urusi 30yrs, na aliomba laptop afanye internet banking pesa yake ipo Eco bank Kenya. Alifanya na akawaambia hiyo pesa itaingia within 48hrs. Dr. Yupo vzr, tatizo watanzania wanaangalia mavazi.
Mkuu, hivi bodi ya korosho ipo kweli? Kama ipo naomba unijuze naipataje?
Au kama unafahamu wauzaji (au exporters) wa korosho na karanga njoo inbox uniunganishe nao, nimepata watu wanahitaji hii kitu ulaya huko!
Niko kwenye biashara ya madini kwa zaidi ya miaka 20, siwashauri wasioijua/wanaotaka kuanza kuingia kwenye biashara hii angalau kwa sasa! Imekuwa ngumu na isiyotabirika!
Huko Mozambique ni shida sana kiusalama, DRC sina hakika sana maana nilienda zamani sana!
Kwa mtaji huo, unaweza kupata...
Huyo ni Marijani Mwana wa Rajabu, Jabali la Muziki!
Akiwa Safari Trippers alikuwa na hizi:
1. Hanifa
2. Salama
Hii Hanifa inanikumbusha enzi hizo tunaishi Ilala Flats, ilikuwa ikipigwa mida ya mchana (kipindi mchana mwema), ilikuwa patashika kwenye ngazi! Tulikuwa tunakimbilia ndani kwenda...
Habari zenu wenzangu wote mliosoma Kigurunyembe Sekondari School, Morogoro.
Nina hakika kuna ambao mmeshapata hizi habari za kuwa, baadhi ya wanafunzi waliosoma Kigurunyembe, wako kwenye mchakato wa kuanzisha Kigurunyembe Sekondary School ALUMNI!
Kama huna taarifa hizi, ninachukua nafasi hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.