Freeman Mbowe, Godbless Lema, Lazaro Nyalandu na John Mrema Wakutana kwenye Mazishi ya Mchungaji Look Mushi Hai

Wachaga wakiwa na mtu anayetamani kuwa mchaga!
Nyalandu labda rangi yake ,elimu na pesa yake ndio inamfanya atamani kujitambulisha na kujisikia good kuwa among the elites wa kichaga wasomi na wenye pesa na kuwasahau choka mbaya wanyaturu wenzie kwao singida ambao hajawahi piga picha nao kama hiyo sababu anawaona kama picha itamdhalilisha hadhi yake.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mhe Freeman A. Mbowe (Wapili kutoka kushoto) akiwa na Mbunge wa Arusha mjini,Mhe Godbless Lema ,Aliekua Waziri wa Mali Asili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema,kabla ya kuelekea kwenye msiba wa Mkuu wa jimbo mstaafu (Mchungaji Looka Mushi) huko jimboni Hai,leo Ijumaa 17/11/2017

View attachment 632233
Sory mkuu hapo mbowe ndo yupi
 
Hv huu ukabila unaopigiwa kelele kila cku utatokomea lini sorry kwa ntakaowakwaza ila hili jambo linanikera sana hiki chama watu wakisema ni chama cha ukaskazini wanakuja juu hebu leo kama kuna mtu anaejiamini kweli aorodheshe vyeo vyote vya uongozi wa chadema katika 10 bora kama robo tatu kama siyo watu wa kaskazini usinitajie uongozi wa bavicha hapa ndio maana namwamini sana Mhe. Rungwe kuliko mtu yeyote yule
Ukabira?
 
Nyalandu labda rangi yake ,eliku na pesa yake ndio inamfanya atamani kujitambulisha na kujisikia good kuwa among the elites wa kichaga wasomi na wenye pesa na kuwasahau choka mbaya wanyaturu wenzie kwao singida ambao hajawahi piga picha nao kama hiyo sababu anawaona kama picha itamdhalilisha hadhi yake.
.....
.....mawazo ya kimaskini pole sana
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mhe Freeman A. Mbowe (Wapili kutoka kushoto) akiwa na Mbunge wa Arusha mjini,Mhe Godbless Lema ,Aliekua Waziri wa Mali Asili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema,kabla ya kuelekea kwenye msiba wa Mkuu wa jimbo mstaafu (Mchungaji Looka Mushi) huko jimboni Hai,leo Ijumaa 17/11/2017

View attachment 632233
Safi haiba yenu makamanda inatufanya tuamin kuwa ukomboz umefika
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa,Mhe Freeman A. Mbowe (Wapili kutoka kushoto) akiwa na Mbunge wa Arusha mjini,Mhe Godbless Lema ,Aliekua Waziri wa Mali Asili na Utalii,Lazaro Nyalandu,Mkurugenzi wa Mawasiliano,Itikadi,Uenezi na Mambo ya Nje CHADEMA,John Mrema,kabla ya kuelekea kwenye msiba wa Mkuu wa jimbo mstaafu (Mchungaji Looka Mushi) huko jimboni Hai,leo Ijumaa 17/11/2017

View attachment 632233
A bunch of loosers!
 
Aliyefiwa ni mchagga hivyo ni lazima kuwe na wachagga wengi kwenye kilio. Acheni ukabila na ukanda.
 
Back
Top Bottom